Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing whats going on in Tanzania as they are heading to their General Election; So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"

Kagame, Paul

SOURCE DW

Hivi Kikwete anapanga kubadili Katiba ili aendelee kuwa rais?
 
"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing whats going on in Tanzania as they are heading to their General Election; So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"

Kagame, Paul

SOURCE DW

Cc: mchambawima1
 
Last edited by a moderator:
Kwanza namshangaa Kikwete anaposema Magufuli anafaa kuwa Rais. Hivi sio Rais huyu huyu Kikwete aliyeigawa wizara ya ujenzi kwa visingizio kwamba ni kubwa sana na ina mlemea Magufuli. Sasa mtu huyu kama wizara hiyo moja tu imegawanywa ili kuleta ufanisi.. Ataweza kuliongoza Taifa zima lenye Wizara Kedekede? Msitutanie jamani .!! Magufuli kazi yake ni ujenzi wa Daraja. Urais hawezi hata kidogo. Hana kauli ya kuliongoza taifa hili. Mchezo ya Kikwete inajulika wazi. Tuendeleeni.. tutasikia mengi.

Tofauti kabisa Na uhalisia
 
Huwezi kufananisha Tanzania na hizo nchi mbili za Rwanda na Burundi kidemokrasia.
 
Watu tumekuwa wajinga sana humu JF siku hizi

Yaani jitu from nowhere linajitungia tu habari ya uongo na kwakuwa ni inahusu kile tunapenda kusikia basi tutaunga mkono tu bila hata kuchukua walau dakika moja kujiuliza je habari hii ni reliable?
 
Unafikiri Kikwete anvyoinua Tezi Dume lake na Kutangaza Kuwa CCM itatumia kila njia kushinda Uchaguzi tunazo mbinu zote na Maarifa hapo wakina Kagame wanamfatilia kupitia vyombo vya habari and Kikwete he is not willing kukabidhi nchi kwa Upinzani na Demokrasia haiusishi katiba tuu alichokia akijaribu hapo Kagame kua ajiandae kisaikolojia kuachia nchi kwa chama cha Upinzani.
 
Unafikiri Kikwete anvyoinua Tezi Dume lake na
Kutangaza Kuwa CCM itatumia kila njia kushinda
Uchaguzi tunazo mbinu zote na Maarifa hapo
wakina Kagame wanamfatilia kupitia vyombo vya
habari and Kikwete he is not willing kukabidhi
nchi kwa Upinzani na Demokrasia haiusishi katiba
tuu alichokia akijaribu hapo Kagame kua ajiandae
kisaikolojia kuachia nchi kwa chama cha
Upinzani.

Pia huu ujinga haupo tuu jamii forums nahisi hata huko unakotoka huenda ukawa unaitwa Jinga lao
 
"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing whats going on in Tanzania as they are heading to their General Election; So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"

Kagame, Paul

SOURCE DW

kwa hiyo wanakiri kuwa wanabaka democracy?? Kikwete keshawafundisha kwa kumuacha mamvi auvunje utaratibu na kuanza kampeni kabla ya muda
 
Nimempenda sana Kagame kwakweli, tunamsubiri huyo Kikwete na goli lao la mkono anadhani dunia imelala hawaoni kinachoendelea.

Sasa umempendea nini Kagame? In terms of democratic leadership huwezi kulinganisha Tanzania na Rwanda.
 
Unafikiri Kikwete anvyoinua Tezi Dume lake na Kutangaza Kuwa CCM itatumia kila njia kushinda Uchaguzi tunazo mbinu zote na Maarifa hapo wakina Kagame wanamfatilia kupitia vyombo vya habari and Kikwete he is not willing kukabidhi nchi kwa Upinzani na Demokrasia haiusishi katiba tuu alichokia akijaribu hapo Kagame kua ajiandae kisaikolojia kuachia nchi kwa chama cha Upinzani.
Kwa sababu watu 30,000 wamehudhuria mkutano, basi ndio mnaona kuna ushindi?
Hiyo ni dhana potofu, hakuna ushindi hapo mtapigwa chini fairly and squarely.
 
Kama kweli huyu bwana PK aliongea hivi, binafsi ni nchi za jirani R na B wanasubiri kwa hamu kujua kama kweli Chama Kaka kikishindwa kitakabidhi madaraka kwa chama mbadala ama ndo watatumia bao la mkono kuhalalisha ushindi wao katika uchaguzi huu!
Kiujumla nchi zote za jirani zinafuatilia kwa makini saana uchaguzi huu wa tanzania kwa sasa! Na pengine ni fursa sasa kwa vyombo vyetu vya habari kama startv, itv na hata tbc kueleza habazi za kweli kwa nini kinachotokea.
 
Inashangaza kuona form six failure freeman Mbowe ndie mwenyekiti wa CHADEMA taifa kuwaongoza wasomi akina profesa baregu!
Uongozi ni kipaji!kuna madakitari wazamivu hawajui kuongoza jifunze kwanza kuliko kukalili kuwa ukisoma ndo unakuwa kiongozi bora!Rudi shule kwanza!
 
Back
Top Bottom