Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Mbona tayari JK kaonesha demokrasia iko mbali? JK si anamalizia miaka kumi? Na hagombei tena..Kagame anafikiri yupo Mnyarwanda mwingine anaweza kumrithi?

Mkuu wewe ndo mwanakijiji ninayekufahamu dah yaani hujakielewa anachosema kagame? Dah inasikitisha sana mkuu unanikatisha sana tamaa hata ya kumkataa lowassa zimebaki siku 4 tu nikapigekura
 
Kwanini nyie watu wa CCM mnapenda kuririshwa kila kitu kutoka hapo LUMUMBA....!!! kwaakili yako na wapuuzi wt wa kijani mnaamini kwamba CCM ndio imetoa UHURU wa kuongea daaah....

hebu engage ubongo kidogo!
Miaka 50 ya uhuru ccm imeweza kuleta umaskini!
Lakini uhuru na demokrasia havijaletwa na ccm!
kama vitu vizuri katika nchi vinazuka tu bila ya kuletwa na yeyote, nadhani na vibaya pia huzuka tu!
so tusiwasikilize wale zero wenu wakiilalamikia ccm kuwa ndio chanzo cha matatizo!
Hizi shida zimekuja tu kama jinsi raha zinavyozuka tu!
 

Data zako chige haziko sawa unaposema wateule binafasi wa JK hakuna aliyefikia Halmashauri kuu (NEC) wakati Membe na January waliingia. JPM hayupo pale kwa maslahi ya JK bali pia lilikuwa ni chaguo la BM. Mkuu chige kuna mambo yanaendelea ya utatanishi basi tuu.
 
Last edited by a moderator:
Nisome vizuri Chakaza... Membe nimeandika Halmashauri kuu na sio Kamati Kuu! Kamati Kuu ni ile ambako majina yasiyozidi matano yanafika na kupatikana matatu yanayofika Mkutano Mkuu! Hebu tukumbushane, baada ya majina 5 kuingia Kamati Kuu, kumbukumbu zangu zinaoenesha ambao waliingia Halmashauri Kuu ni Migiro, Amina na Pombe!

Hata hivyo kuna kitu nimesahau hapa au kinanichanganya! Katiba yao inaonesha majina yasiuopungua matano ndiyo yanatoka Kamati ya Maadili na Usalama kuingia Kamati Kuu... from Kamati Kuu majina yanaingia Halmashauri na kikao cha mwisho Mkutano Mkuu. Sasa ikiwa majina yanatoka Kamati Kuu na kuingia Halmashauri Kuu... hapa kumbukumbu zimenitoka! Pale Kamati Kuu si yanachujwa kuingia Halmashauri Kuu? Kumbukumbu zangu hapa ndo majina ya Makamba na Membe yaliishia na matatu yakaingia Halmashauri Kuu! Sasa ikiwa Mkutano Mkuu yanaenda majina matatu, hapa Halmashauri Kuu ni nini kinafanyika ikiwa napo yaliingia majina matatu kutoka Kamati Kuu!
 
Dunia inawashangaa watz wanavyomshangilia tisadi. Na vilevile wanasubiri kuona kama watz wako na timamu. Atakatwa tu hata iweje, hata kwa ncha yoyote ile kidole kikimshindwa.
Hawa jamaa ni vilaza hadi wanatia kinyaa! Wana macho lakini hawaoni; wana masikio lakini hawasikii... halafu ni hodari wa kujifanya wanajua wakati majority ni vilaza!
 
Hawa jamaa ni vilaza hadi wanatia kinyaa! Wana macho lakini hawaoni; wana masikio lakini hawasikii... halafu ni hodari wa kujifanya wanajua wakati majority ni vilaza!

Vilaza unawajua?

Tatizo huenda mama yako alibeba mimba humjui baba yako.

Kama ndivyo, Itakuwa nguvu kujua mbinu finyu za El. Tz kwanza
 
Hiyo kauli aliitoa ni kweli kagame aliitoa, siku za nyuma, yapata mwezi mmoja sasa!! Source fungua official page ya paulkagame twitter ujisomee mwenyewe! Usibishe kama kitu haukijui.
 
Thats not true that STATEMENT CANT COME FROM HE PK
We have to be careful with such hoax msgs created with BAD INTENTION

Visit president PK official twitter account....i hope u follow him
 
ni kweli kabisa maaan nashanga kuna na sheria eti mtu akisha maliza kupiga kura akae mita 200 na wakati ni mita mia sheri gani hiyo na ninani ameiweka huko , lengo la CCM kung'ang'ania kutaka madaraka ni kuhuhusiana na katiba iliyopendekezwa itawasaidia kuficha maovu yao waliyo yatenda yeye na serikali yake Ndugu wananchi siku ya jumapili kuewni makini pia KILA MTU AENDE NA KALAMU YAKE ASANTENI
 
Vilaza unawajua?

Tatizo huenda mama yako alibeba mimba humjui baba yako.

Kama ndivyo, Itakuwa nguvu kujua mbinu finyu za El. Tz kwanza
Aise we jamaa ni mtalaamu wa kutukana!! Kwahiyo we ndo baba angu nini?!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…