Paul Kagame: Tanzania's own spy


I don't think Museveni and Kagane were "planted" by Tanzania. What Tanzania did was to train them to liberate their own countries which they did. Tanzania and DRC are free countries. DRC is internationally entitled to acquire some armaments and transport them to their country.
 

Hahahaaaaaa mkuu punguza biti utafanya mtusi wa watu ajikojolee bure!
 
Jee tunao bado huo uwezo wa kumwadabisha nina wasiwasi uwezo tuliokua nao kipindi tunamfundisha hatunao tena


walioko jikoni ndio wanajua nyanya kiasi gani zimekatwa na vitunguu kiasi gani...wewe kama mwisho wako ni sitting room mezani huwezi kujua haya...na wala huwezi kujua hizo nyanya na vitunguu wale walioko jikoni wamekata kwa kutumia nini...wanaweza kutumia panga, wembe, au kisu..haya yote huwezi kujua maana wewe kazi yako ni kusubiri chakula kikiletwa mezani ule basi....
 

.....kwenye moja ya mada kama hizi huko nyuma nilisema hayo maneno.....nikashambuliwa........pamoaj na kwamba "shetani" huyu tumemtengeneza weneywe.......ninasisitiza...PK asijidanganye.....kw ambinu anazotaka kutuhujumu nazo.......
 

Hapo kwenye RED Wahaya wata - react vya hatari......................i mean inatisha hilo neno...........yaaani bya nini!!!!?????
 

I somehow beg to differ. Kabila is the president of an independent country called DRC and he has the obligation to protect it according to the oath he took as president. Kabila does not have an interest in DRC, he is the DRC itself! All the others you have mentioned are intruders.
 
Kwani Osama aliwafanyaje Wamarekani? Anayekusumbua siku zote ni anayekufahamu.

Na wanyarwanda kibao wamo usalama wa taifa,ndio hapo sasa
 
You should; first, struggle to get yourself rid of being ignorant not to be able to understand that "minds" do not have "pages" and second, you are the ones trying to make Kagame our business, he is not. Our business is peace in the eastern Congo.
 

So would your economy for you waste your time reading those pages.Why do you think reading about what others are doing about you is wastage of time and does not contribute to a country's economy?
 

Bonyeza link hizo kisa search CTRL + Find Bonyeza Tanzania uone kwa miezi hii tumeongelewa mara ngapi. Pia utaona bendera ya Rwanda vizuri : Rwandan Newspapers : Newspapers from Rwanda : Rwandan News : Africa
 

Nimekusoma na kukuelewa kaka mkuu
 
Kama Wanajeshi, Paul Kagame ana CHEO kikubwa zaidi ya Rais wetu, madharau ya jeshi yanaanza.

Ila kama Rais wa nchi, hapo story inakuwa nyingine.
 

KVM mkuu,

Pres Kabila is one of the most corrupt leaders Africa has ever seen. He and his henchmen are plundering that resource-rich country left, right and center. And worse yet, he is harboring murderous FDLR and other terrorist groups threatening the safety and security of Rwanda and Uganda. I am not condoning what Pres Kagame and/or Pres Museveni are covertly doing to prop up some Congolese resistance groups within Eastern Congo, BUT I understand. We'd do the same in Tanzania.
 

Tanzanians are not war mongers. They are like puff adders who strike only after being trampled upon unlike black mambas who are always looking for something to strike.
 

.......tulishawapa ujumbe kuwa......at any cost.....ya kulinda utu wetu na Taifa letu..."HATUTAWAPUUZA"........
 
Kumbe anaweza anza kupiga magogoni pale
 
You should; first, struggle to get yourself rid of being ignorant not to be able to understand that "minds" do not have "pages" and second, you are the ones trying to make Kagame our business, he is not. Our business is peace in the eastern Congo.

Your name says a lot. You must be one of them.
 
Kweli Mkuu!mimi sikubaliani na wanaoshauri kuelewana na hawa jamaa wanyarwanda,Kagame na Museveni wenyewe hawaaminiani,mimi nilipewa issue nzima na jamaa ambaye alikuwa mwanajeshi walikuwa wote vitani vya uganda na Museveni na kagame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…