Yaaaah...!!
Lazima watu waingie mpaka Ikulu yake ya Kigali bila hata ya kuonekana kwenye CCTV alafu tunamuamsha usingizini akiwa na mkewe na kumpa onyo kali na kuondoka zetu
Akiamka asubuhi ndio atakuwa na akili akijua hatukumpatia mbinu zoote zingine tulizibakiza
Humu ndani kuna watu, mi nilkuwa sijui kitu mkuu asante kwa taarifa hii nzuri
Hivi Yoweri Museveni na Paul Kagamae ni "marafiki"?
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? if there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course?? It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in morogoro), paul kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. why is this killing machine malfunctioning now!? Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele. Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK.Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating.Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish.If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
Moshe Dayan uko sahihi.. huyu bwana tulimfundisha mambo mengi sana na hayo ndiyo yalimpa mbinu za kumsaidia M7 kuichukua uganda...leo unapomuona amegeuka na kututolea maneno ya ajabu hakuanza leo.....wakati anatoka huko kansas marekani kusoma wakti huo fred rwigyema alikuwa ndio mkuu wa kikosi na kagame msaidizi. ni huyu huyu kagame aliyepanga mauaji ya fred rwigyema baada ya kuona kwamba anakubalika sana na alijua wakiitwaa rwanda ndiye angekuwa rais wa rwanda...
kagame aliandaa mpango mahususi wa kumueliminate fred...na amlimtumia kijana mmoja anaitwa ntanyambire ambaye alikuwa sniper.. kijana huyo akatekeleleza mauaji ya fred...maiti ya fred rwegyima walikaa nayo kwa siri hawa kina kagame kwa mwezi mmoja na ndipo kagame akatoa taarifa kwa M7 kuwa fred rwigyima ameuawa na kikundi cha watu watatu aliowataa kuwa ni Major Peter Bayingana, Major Chris Bunyenyezi na Major Frank Munyaneza .
mseveni alichukia sana baada ya kupata taarifa hizo na hao waliohusika na mauaji ya fred..kumbuka fredi alikuwa rafiki mkubwa sana wa M7 na alimpenda sana...hivyo M7 akamtuma mdogo wake aliyeitwa ally saleh kwenda kuhakikisha hawa watutu waliomuua fredi rwegyima nao wanauawa...majaor ally saleh alitekeleza mauaji hayo kwa mpigo...
baada ya seke seke hilo hapo ndipo kagame sasa akapata mwanya wa kuwa mkuu wa kikosi hadi wakaitwaa rwanda na yeye kuwa rais..
kwa hiyo basi kagame hakuanza leo kudanganya na kusingizia...alimuingiza mkenge mseven kwa kumwaminisha kwamba fred ameuawa na hao jamaa niliowataja hapo juu...lakini ni yeye alikuwa nyuma ya mpango mzima..
ndio tulimfundisha mbinu nying..tradecraft na spycratf kibao..lakini leo anapotuletea dharau hatuwezi kumwacha hivi hivi...
de'levis, long time no see.., turudi kwenye mada, ntakuja na topic jinsi rwegyima alivyouawa na jinsi siku alipoenda front ilikuaje rpg zote za unit yake zili-miss fire, ndipo utajua kagame tulimuivisha kwenye espionageMoshe Dayan uko sahihi.. huyu bwana tulimfundisha mambo mengi sana na hayo ndiyo yalimpa mbinu za kumsaidia M7 kuichukua uganda...leo unapomuona amegeuka na kututolea maneno ya ajabu hakuanza leo.....wakati anatoka huko kansas marekani kusoma wakti huo fred rwigyema alikuwa ndio mkuu wa kikosi na kagame msaidizi. ni huyu huyu kagame aliyepanga mauaji ya fred rwigyema baada ya kuona kwamba anakubalika sana na alijua wakiitwaa rwanda ndiye angekuwa rais wa rwanda...
kagame aliandaa mpango mahususi wa kumueliminate fred...na amlimtumia kijana mmoja anaitwa ntanyambire ambaye alikuwa sniper.. kijana huyo akatekeleleza mauaji ya fred...maiti ya fred rwegyima walikaa nayo kwa siri hawa kina kagame kwa mwezi mmoja na ndipo kagame akatoa taarifa kwa M7 kuwa fred rwigyima ameuawa na kikundi cha watu watatu aliowataa kuwa ni Major Peter Bayingana, Major Chris Bunyenyezi na Major Frank Munyaneza .
mseveni alichukia sana baada ya kupata taarifa hizo na hao waliohusika na mauaji ya fred..kumbuka fredi alikuwa rafiki mkubwa sana wa M7 na alimpenda sana...hivyo M7 akamtuma mdogo wake aliyeitwa ally saleh kwenda kuhakikisha hawa watutu waliomuua fredi rwegyima nao wanauawa...majaor ally saleh alitekeleza mauaji hayo kwa mpigo...
baada ya seke seke hilo hapo ndipo kagame sasa akapata mwanya wa kuwa mkuu wa kikosi hadi wakaitwaa rwanda na yeye kuwa rais..
kwa hiyo basi kagame hakuanza leo kudanganya na kusingizia...alimuingiza mkenge mseven kwa kumwaminisha kwamba fred ameuawa na hao jamaa niliowataja hapo juu...lakini ni yeye alikuwa nyuma ya mpango mzima..
ndio tulimfundisha mbinu nying..tradecraft na spycratf kibao..lakini leo anapotuletea dharau hatuwezi kumwacha hivi hivi...
For the past few months or so, Kagame has been on front pages of Tanzanian minds and thoughts. If the time you use everyday discussing Kagame was spent productively I believe that your GDP would have increased a percentage point. Just thinking out loud.
usiogope, everything is under controlMkuu hizi ni ''classified information'' not for public consumption
Mkuu hizi ni ''classified information'' not for public consumption
For the past few months or so, Kagame has been on front pages of Tanzanian minds and thoughts. If the time you use everyday discussing Kagame was spent productively I believe that your GDP would have increased a percentage point. Just thinking out loud.
Na inasemekana Fred Rwigema alitwangwa risasi kwa mpango wa bwn PK!uko sahihi sana....kama Rwigyema angekuwepo angekuwa President.
wanyarwanda wanajulikana tu!! cheki jina na hata bendera!!hivi kwanini msirudi kwenu mkajenga taifa lenu?taifa lenu haliwezi kujengwa kwa kuiba mali na kuua raia wa nchi zingine
For the past few months or so, Kagame has been on front pages of Tanzanian minds and thoughts. If the time you use everyday discussing Kagame was spent productively I believe that your GDP would have increased a percentage point. Just thinking out loud.
Humu ndani kuna watu, mi nilkuwa sijui kitu mkuu asante kwa taarifa hii nzuri
de'levis, long time no see.., turudi kwenye mada, ntakuja na topic jinsi rwegyima alivyouawa na jinsi siku alipoenda front ilikuaje rpg zote za unit yake zili-miss fire, ndipo utajua kagame tulimuivisha kwenye espionage