subiri wiki mbili ziishe hawa wanyaru watakoma na akijidanganya leo kuisema mbovu nchi yetu badala ya wiki mbili itakua 24hours.Yaani inasikisha kumbe hata issue yenyewe huijui imeanzia wapi wawezaje kusema TZ ndio wachokozi???Wewe pia ni mnyarwanda japo umeishi sana TZ tena kwa raha mustarehe hizo ndio shukurani za punda mateke ama kweli Karibu mbaya.
Wewe hujui unachosema mwambie aliazishe basi, mimi nilikuwa JKT 1987/1988 kisha nienda JWTZ 5 years tena kwenye vikosi nyeti unavyovisikia nchi hii silaha zote najua kuzitumia hadi dakika hii niko uraiani naendelea na maisha kwa hili la Kagame nitaenda frontline tena nakuhakikishia hiyo wilaya ni siku moja tu kesho yake tunakunywa chai kigali,hutaki subiri matokeo.JE waujua usemi wa wahenga usemao "mdharau mwiba mguu humuota tende"?. Tafakari...
na akina Kwame Nkurumah, Mandela utawaitaje?
itakuwa saa ngapi?
We can comfortably afford to ignore Rwanda...
I understand they have an APACHE HELICOPTER which can be a nightmare to our infantry man.All in all come what may Tanzania will win the war.karwanda kadogo lkn nimepata habari wana silaha za kuangamiza dar kwa nusu saa...
Unaikumbuka Sultani wa Zanzibar na Jeshi lake lilishawahi kuwadi*** Jeshi wa Mwingireza lakini walifyata ndani ya dk 40 Mzinga iliyoelekezwa Jengo la Sultani lilitosha kumshikisha adabu na akawekwa mwingine.JE waujua usemi wa wahenga usemao "mdharau mwiba mguu humuota tende"?. Tafakari...
kenge kabisa hata radio yenyewe kwenye internet hupati!!!Hotuba itatangazwa na Kigali FM 100.2. Atatumia muda huo kujibu hoja za JK dhidi yake na kuiambia Rwanda nini cha kufanya.
Ni saa 1 usiku kwa saa za Rwanda mkuu. Hawa moderators wana mambo ya kipuuzi sana. Lakini kwa sasa nimesharudi hewani kuwapa taarifa.
Hotuba itatangazwa na Kigali FM 100.2. Atatumia muda huo kujibu hoja za JK dhidi yake na kuiambia Rwanda nini cha kufanya.
kenge kabisa hata radio yenyewe kwenye internet hupati!!!