nyie mnadhani watz wa sasa hv ni wale wanyerere kwamba sijui wazalendo....kipindi kile watu walikuwa proud na nchi yao...coz waliona viongozi nao wanaonyesha huo uzalendo so ilikuwa ni kitu cha kujivunia kabisa but now watu wamekata tamaa kabisa halafu unategemea wakaonyeshe uzalendo...myfoot...nyie subiri kinuke ndio mtaona wakti riz1 yuko usa,uk
Hii thread inatosha kabisa kumfungia mtu Life-Ban.
Nashangaa sana Mods wanaentertain vitu vya aibu kwa nchi kama hiki!
Huu ni uchochezi wa grade One unaohusu nchi nzima na maisha ya watu.
Nitaanza kuwasupport wale wanaosema mods wako biased. So far hakuna kauli yoyote iliyoquotiwa inayoonyesha PK Kasema chochote kuhusu Tz.
Kimsingi Radhia Sweety kawaprovoke wanajamvi na kuwasababishia wamtukane PK bila sababu.
Mods nawaamuru futeni hii thread, otherwise na nyinyi ni WACHOCHEZI.
Iam sorry to say this, but there is no way short of this.
Nimeboreka to the maximum.
Hivi KUAMURU Mods wafenye kitu fulani kunatokana na Rep. Power au????????? Samahani ni kwa ufahamu tu.
hii thread inatosha kabisa kumfungia mtu life-ban.
Nashangaa sana mods wanaentertain vitu vya aibu kwa nchi kama hiki!
Huu ni uchochezi wa grade one unaohusu nchi nzima na maisha ya watu.
Nitaanza kuwasupport wale wanaosema mods wako biased. So far hakuna kauli yoyote iliyoquotiwa inayoonyesha pk kasema chochote kuhusu tz.
Kimsingi radhia sweety kawaprovoke wanajamvi na kuwasababishia wamtukane pk bila sababu.
Mods nawaamuru futeni hii thread, otherwise na nyinyi ni wachochezi.
Iam sorry to say this, but there is no way short of this.
Nimeboreka to the maximum.
Na wewe unajiona cake sana kumbe pande la kiazi. JF gold member inakupa kiburi
Hivi KUAMURU Mods wafenye kitu fulani kunatokana na Rep. Power au????????? Samahani ni kwa ufahamu tu.
Radhia Sweety usiwe mpu.mbavu
Nenda akakutumikishe nafsi yako ifurahi
Inaweza ikawa kweli lakini pia kwa upande mwingine inawezekana ikawa sehemu ya kutathimini zana zetu endapo zana ambazo tumezi-escort zina kiwango cha hali ya juuMkuu,
Kumbuka na elewa ya kwamba Rwanda hupitishia silaha zake kupitia bandari yetu ya Dar, na husafirishwa kupitia barabara zetu. Tena hupewa eskoti kusafirisha kupitia jeshi letu ambalo ni JWTZ (TPDF).
Kwa mantiki hiyo basi, vyombo vyetu vyote vya dola vinatambua silaha alizonazo jirani yetu Rwanda, na wanajua ni jinsi gani wanavyoweza kuwadhibiti.
Hii ni sawa na Malawi, nguvu zao kijeshi zote zajulikana hapa Tanzania.
Sidhani kama Kagame anavifaa vya missile vyenye uwezo wa kuipiga Dar kwa umbali wa kutokea Kigali ambayo ni zaidi ya kilometa 1,400.
Sema, wanachoweza kufanya ni kuelekeza nguvu katika kuiharibu zaidi Mwanza kama ilivyokuwa target ya Idd Amin kuivuruga na kuikatia mawasiliano Mwanza.
Kwa kuliona hilo basi juu ya Mwanza, serikali ya Tanzania tayari toka mwaka jana imeshaweka kikosi cha anga Mwanza (kikosi cha anga kilichopo airport pembezoni mwa Military Hospital-MH).
Hizi nchi majirani zetu za magharibi zianzishapo chokochoko na Tanzania kivita...target yao kubwa huwa Mwanza City maana wanajua wakiiharibu Mwanza basi kuiteka Dar huwa ni rahisi na kuvunja uchumi wa nchi mara moja.
Kiujumla vita si nzuri ila kujihami no bora zaidi kama alivyonena jemedari wetu kuwa "HATUYAPUUZI".
Inaweza ikawa kweli lakini pia kwa upande mwingine inawezekana ikawa sehemu ya kutathimini zana zetu endapo zana ambazo tumezi-escort zina kiwango cha hali ya juu
Hii thread inatosha kabisa kumfungia mtu Life-Ban.
Nashangaa sana Mods wanaentertain vitu vya aibu kwa nchi kama hiki!
Huu ni uchochezi wa grade One unaohusu nchi nzima na maisha ya watu.
Nitaanza kuwasupport wale wanaosema mods wako biased. So far hakuna kauli yoyote iliyoquotiwa inayoonyesha PK Kasema chochote kuhusu Tz.
Kimsingi Radhia Sweety kawaprovoke wanajamvi na kuwasababishia wamtukane PK bila sababu.
Mods nawaamuru futeni hii thread, otherwise na nyinyi ni WACHOCHEZI.
Iam sorry to say this, but there is no way short of this.
Nimeboreka to the maximum.
Cjui nani mchokoz ila nahis tz ndio wachokoz na kama ndivyo tukipigana watatupiga mana MUNGU ATAKUWA UPANDE WAo.
Baada ya kufuatilia habari zinazomuhusu Kagame, niliamua kurudi na kwenda kusoma vyanzo mbalimbali kwenye mtandao kuhusu historia na chimbuko la migogoro Rwanda kwenyewe na hasa ule wa mauaji ya kimbali, jinsi ulivyoanza, chimbuko la mgogoro, viashiria na tukio zima nimepata picha kamili na kufahamu kinachomsukuma Kagame ku-behave anavyofanya kwa sasa. ukitulia vizuri ukatafakari chanzo cha kuuawa kwa yule Raisi wao wa kwanza, chimbuko la RPF iliyokuwa inaongozwa na kagame na strategy inayooendesha mfumo wa utawala Rwanda utajua moja kwa moja nini kinaendelea na ni jinsi gani suluhisho la amani halitawezekana pale kirahisi kwa njia ya mazungumzo, kabisa. kwamba watu wakae makundi yote na kufikia muafaka wa amani ni kitu ambacho hakitawezekana leo wala kesho. lakini Kagame kutumia lugha kali si kwamba kweli ndani yake analenga kumaanisha na kuonyesha kuwa ni kwa sababu Raisi Kikwete amemshauri vibaya, hasha, pale ni kujaribu kupeleka message kwa ma-general walio nyuma yake clear position yake kabisa, kwani hata yule Raisi alieuawa bila kujali aliuawa na nani lakini sababu ni kua alikuwa anaingia mkataba wa amani na minority groups ambao ulikua unapigiwa debe na Tanzania ambapo katika kuusaini ndo siku aliouawa. ukijikita katika msimamo huu unaona kabisa huyu jamaa posibility kubwa aliuawa na wenzake na sio watu wa upande wapili.
Pili swala la Kagame kutumia kisingizio cha mauaji ya kimbali yaliyofanywa na wapinzani wae lakini jumla ya mambo yote kwa undani ni kuendeleza uleule ubaguzi ambao uliwafanya Rwanda wafike hapo. lakini naamini wapinzani wake wakiwa na nguvu kuliko yeye atataka waingie mkataba waamani.
Ttatu hana mpango wa kuachia kiti cha uraisi leo au kesho kwa hiyo anafunga milango yoote inayoweza kumletea upinzani wa dhahili mbele ya safari. kuna memgi lakini hiyo ni picha tu.
Ila ukisoma huu mgogoro kwa mara yapili na ya tatu, kweli utaona mazungumzo hata kama yatafanywa hayata leta kitu cha kudumu sanasana yatafungua mIlango Mmipya ya maangamizi mengine na kwa sababu hiyo kama kagame ataingia kwenye mpango wa kutafuta amani watakao muua ni watu wake mwenyewe au kumtoa madarakani, kwani wote wako thirsty about top ranking na kuleta hao wanaoonekana kuwa wakora ndani ya mfumo wa utawala kutamaanisha kuweka uzibe kwa majority ambao wako kwenye system.
tunawajua kwa matusi yenu. dawa yenu ni kuwatimua kimyakimya tu mpaka wote mrudi kwenu rwandaUkaanze kujenga Congo kwani Tanzania umeishamaliza kuijenga..? au ndo' shobo tu!