Paul Christian Makonda anafaa kuwa Waziri

Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM).

Ngazi hii pia anapaswa kuivuka, msukumo wa kuhamia ngazi nyingine unapaswa kutoka kwa mtu mwenyewe. Makonda kachukua fomu ya kugombea ubunge Kigamboni (huu ni msukumo wa ndani wa kwake mwenyewe).

Ukiwa mbunge, unaweza kuwa waziri na ukiwa waziri una nafasi kubwa ya kuwa waziri mkuu na hata baadaye inakupa mpenyo mzuri wa kugombea urais. Makonda angeweza kusubiri uteuzi wa viti vile kumi, lakini kama kawaida yetu maneno yangejaa kuwa amebebwa. Kaamua kujitosa bado maneno kibaooo.

Akili inaniambia huyu jamaa anapigwa vita asifikie ile destination yake. Usisubiri mtu akuamulie destiny yako, pambana. Hata Mungu hutenda muujiza katika kile ulicho nacho, Makonda shika ubunge kisha tuone huko mbele ya safari mambo yatakavyo unfold.

Wewe ni binadamu, hakuna binadamu asiye na mapungufu, ila mapungufu yako ni machache sana sana na yanavumilika na bado una nafasi ya kuendelea kujifunza na kubadilika. Karibu mbunge mtarajiwa wa Kigamboni tupo tayari kwenda na wewe. Tunasubiri maamuzi ya chama chetu.
Wajinga pekee ndio wanafikiri Makonda ni mtu wa maana.
 
Marekani sio mbinguni, lakini ndiko wanasema ukweli - Makonda alikuwa akiwanyim watu haki ya uhai. Unajua maana yake? Alikua anaua watu. Sasa tuanze na hapo. Nani anataka kiongozi mwenye hatia ya damu kwa ajili tu ya mambo ya siasa? Yaani uue watu halafu useme unaomba kura zao, wai! UKiwa Mbunge watu wako wakakukosoa si utawaua kama huko nyuma ulivyoona ni halali kuua watu wanaokosoa!

Na wakimpitisha tutamuuliza juu ya hili suala. TUnamsubiri kwa hamu. Siku hiyo hata BBC, CNN tutawakaribisha, Makonda akiulizw swali juu ya kunyima watu haki ya kuishi.
Makonda atufai bora mpoki

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM).

Ngazi hii pia anapaswa kuivuka, msukumo wa kuhamia ngazi nyingine unapaswa kutoka kwa mtu mwenyewe. Makonda kachukua fomu ya kugombea ubunge Kigamboni (huu ni msukumo wa ndani wa kwake mwenyewe).

Ukiwa mbunge, unaweza kuwa waziri na ukiwa waziri una nafasi kubwa ya kuwa waziri mkuu na hata baadaye inakupa mpenyo mzuri wa kugombea urais. Makonda angeweza kusubiri uteuzi wa viti vile kumi, lakini kama kawaida yetu maneno yangejaa kuwa amebebwa. Kaamua kujitosa bado maneno kibaooo.

Akili inaniambia huyu jamaa anapigwa vita asifikie ile destination yake. Usisubiri mtu akuamulie destiny yako, pambana. Hata Mungu hutenda muujiza katika kile ulicho nacho, Makonda shika ubunge kisha tuone huko mbele ya safari mambo yatakavyo unfold.

Wewe ni binadamu, hakuna binadamu asiye na mapungufu, ila mapungufu yako ni machache sana sana na yanavumilika na bado una nafasi ya kuendelea kujifunza na kubadilika. Karibu mbunge mtarajiwa wa Kigamboni tupo tayari kwenda na wewe. Tunasubiri maamuzi ya chama chetu.
Wasukuma mwisho wao October hawawezi kazi za reasoning.
Hio ndoto ya mchana
 
Jizi, jambaZi, uaJi, vyeti bandia, embu tuacheni nchi yetu sote khaa.
 
Hawa watu tuwapumzishe October wametutesa Sana, kurudia makosa hata Mungu atatushangaa
 
Kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
JamiiForums-86313747.jpg
 
Makonda ni janga kwa Tanzania yetu. Huyu ndie alimuambia jei pii emu "Mzee niruhusu mimi niwashughulikie, wewe uendelee na kazi zako". Huyu ndiyo mchana kweupe tulimwona anatinga Mawingu na mabunduki etc. Hafai hafai hafai. Huyu mpaka kesho vyeti vyake vina utata.
pamoja na mapungufu yake ni mmoja wa viongozi wazuri, kwa umri wake bado ana nafasi kubwa mbeleni kuitumikia nchi yake
 
Karibu mbunge mtarajiwa wa Kigamboni tupo tayari kwenda na wewe. Tunasubiri maamuzi ya chama chetu.
Dr. Ndugulile anatosha sana Kigamboni. Mwambieni Makonda aende Koromije kama mnampenda sana
 
Mbona rahisi sana nashangaa anahangaika bure.
Aende mahakamani akaape afute jina PAUL Aweke WAZIRI apo fresh atakuwa anaitwa WAZIRI Christian Makonda.
 
Back
Top Bottom