akagombee viti maalum bado kuna nafasi hajachelewaHizo Chuki zenu binafsi tu Kwa Comred Makonda sisi tunamuona anasifa zote na anafaa kuwa Mbunge wa Kigamboni.

Atafaa kama atajitafakari na kujirekebisha.pamoja na mapungufu yake ni mmoja wa viongozi wazuri, kwa umri wake bado ana nafasi kubwa mbeleni kuitumikia nchi yake
Wewe bwanamdogo, una bwabwaja upuuzi, huyo ni mhalifu na ampigwa ban ya kutoingia USA kwa makosa yake ya mauaji na kukandamiza haki za wenginePaul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM).
Ngazi hii pia anapaswa kuivuka, msukumo wa kuhamia ngazi nyingine unapaswa kutoka kwa mtu mwenyewe. Makonda kachukua fomu ya kugombea ubunge Kigamboni (huu ni msukumo wa ndani wa kwake mwenyewe).
Ukiwa mbunge, unaweza kuwa waziri na ukiwa waziri una nafasi kubwa ya kuwa waziri mkuu na hata baadaye inakupa mpenyo mzuri wa kugombea urais. Makonda angeweza kusubiri uteuzi wa viti vile kumi, lakini kama kawaida yetu maneno yangejaa kuwa amebebwa. Kaamua kujitosa bado maneno kibaooo.
Akili inaniambia huyu jamaa anapigwa vita asifikie ile destination yake. Usisubiri mtu akuamulie destiny yako, pambana. Hata Mungu hutenda muujiza katika kile ulicho nacho, Makonda shika ubunge kisha tuone huko mbele ya safari mambo yatakavyo unfold.
Wewe ni binadamu, hakuna binadamu asiye na mapungufu, ila mapungufu yako ni machache sana sana na yanavumilika na bado una nafasi ya kuendelea kujifunza na kubadilika. Karibu mbunge mtarajiwa wa Kigamboni tupo tayari kwenda na wewe. Tunasubiri maamuzi ya chama chetu.
Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM).

Wewe bwanamdogo, una bwabwaja upuuzi, huyo ni mhalifu na ampigwa ban ya kutoingia USA kwa makosa yake ya mauaji na kukandamiza haki za wengine
Kama unampenda mchukue kanywe naye chai
Kamshushia Sana magufuli heshima yake huyu na Mambo yakeMakonda ni janga kwa Tanzania yetu. Huyu ndie alimuambia jei pii emu "Mzee niruhusu mimi niwashughulikie, wewe uendelee na kazi zako". Huyu ndiyo mchana kweupe tulimwona anatinga Mawingu na mabunduki etc. Hafai hafai hafai. Huyu mpaka kesho vyeti vyake vina utata.
Hakika mkuu si unaona Makonda alivyokosa fursa.Chuki ikitawala unakosa fursa au uwezo wa kuona mazuri ya mtu.
Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM).
Ngazi hii pia anapaswa kuivuka, msukumo wa kuhamia ngazi nyingine unapaswa kutoka kwa mtu mwenyewe. Makonda kachukua fomu ya kugombea ubunge Kigamboni (huu ni msukumo wa ndani wa kwake mwenyewe).
Ukiwa mbunge, unaweza kuwa waziri na ukiwa waziri una nafasi kubwa ya kuwa waziri mkuu na hata baadaye inakupa mpenyo mzuri wa kugombea urais. Makonda angeweza kusubiri uteuzi wa viti vile kumi, lakini kama kawaida yetu maneno yangejaa kuwa amebebwa. Kaamua kujitosa bado maneno kibaooo.
Akili inaniambia huyu jamaa anapigwa vita asifikie ile destination yake. Usisubiri mtu akuamulie destiny yako, pambana. Hata Mungu hutenda muujiza katika kile ulicho nacho, Makonda shika ubunge kisha tuone huko mbele ya safari mambo yatakavyo unfold.
Wewe ni binadamu, hakuna binadamu asiye na mapungufu, ila mapungufu yako ni machache sana sana na yanavumilika na bado una nafasi ya kuendelea kujifunza na kubadilika. Karibu mbunge mtarajiwa wa Kigamboni tupo tayari kwenda na wewe. Tunasubiri maamuzi ya chama chetu.
Anamrithi Gwajimaaaa
Tanzania tamu sana 😂😂
Bongo tambaralezzz
Alimzaba huu mzee mavibao ya mgongoni hadi mzee akakohoa.Alimpiga Mzee Warioba!!View attachment 1511581
kwasasa ameshachelewa tayari😡Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM).