Paul Christian Makonda anafaa kuwa Waziri

Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM).

Ngazi hii pia anapaswa kuivuka, msukumo wa kuhamia ngazi nyingine unapaswa kutoka kwa mtu mwenyewe. Makonda kachukua fomu ya kugombea ubunge Kigamboni (huu ni msukumo wa ndani wa kwake mwenyewe).

Ukiwa mbunge, unaweza kuwa waziri na ukiwa waziri una nafasi kubwa ya kuwa waziri mkuu na hata baadaye inakupa mpenyo mzuri wa kugombea urais. Makonda angeweza kusubiri uteuzi wa viti vile kumi, lakini kama kawaida yetu maneno yangejaa kuwa amebebwa. Kaamua kujitosa bado maneno kibaooo.

Akili inaniambia huyu jamaa anapigwa vita asifikie ile destination yake. Usisubiri mtu akuamulie destiny yako, pambana. Hata Mungu hutenda muujiza katika kile ulicho nacho, Makonda shika ubunge kisha tuone huko mbele ya safari mambo yatakavyo unfold.

Wewe ni binadamu, hakuna binadamu asiye na mapungufu, ila mapungufu yako ni machache sana sana na yanavumilika na bado una nafasi ya kuendelea kujifunza na kubadilika. Karibu mbunge mtarajiwa wa Kigamboni tupo tayari kwenda na wewe. Tunasubiri maamuzi ya chama chetu.
Utingo kazi inayomfaa labda mwalimu wa shule ya msingi sisemi kwa ubaya lkn nadhani huko ndio anaweza kumudu hata akiharibu ni rahisi kutatulika,
 
Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM).

Ngazi hii pia anapaswa kuivuka, msukumo wa kuhamia ngazi nyingine unapaswa kutoka kwa mtu mwenyewe. Makonda kachukua fomu ya kugombea ubunge Kigamboni (huu ni msukumo wa ndani wa kwake mwenyewe).

Ukiwa mbunge, unaweza kuwa waziri na ukiwa waziri una nafasi kubwa ya kuwa waziri mkuu na hata baadaye inakupa mpenyo mzuri wa kugombea urais. Makonda angeweza kusubiri uteuzi wa viti vile kumi, lakini kama kawaida yetu maneno yangejaa kuwa amebebwa. Kaamua kujitosa bado maneno kibaooo.

Akili inaniambia huyu jamaa anapigwa vita asifikie ile destination yake. Usisubiri mtu akuamulie destiny yako, pambana. Hata Mungu hutenda muujiza katika kile ulicho nacho, Makonda shika ubunge kisha tuone huko mbele ya safari mambo yatakavyo unfold.

Wewe ni binadamu, hakuna binadamu asiye na mapungufu, ila mapungufu yako ni machache sana sana na yanavumilika na bado una nafasi ya kuendelea kujifunza na kubadilika. Karibu mbunge mtarajiwa wa Kigamboni tupo tayari kwenda na wewe. Tunasubiri maamuzi ya chama chetu.
Naunga mkono hoja Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P
 
Paul Makonda; Secretary for Ideology and Publicity for Chama Cha Mapinduzi (CCM)
 
Mbona rahisi sana nashangaa anahangaika bure.
Aende mahakamani akaape afute jina PAUL Aweke WAZIRI apo fresh atakuwa anaitwa WAZIRI Christian Makonda.
Sawa , muda ni mwalimu mzuri sana. Tutarudi hapa kukagua posts zetu
 
Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM).

Ngazi hii pia anapaswa kuivuka, msukumo wa kuhamia ngazi nyingine unapaswa kutoka kwa mtu mwenyewe. Makonda kachukua fomu ya kugombea ubunge Kigamboni (huu ni msukumo wa ndani wa kwake mwenyewe).

Ukiwa mbunge, unaweza kuwa waziri na ukiwa waziri una nafasi kubwa ya kuwa waziri mkuu na hata baadaye inakupa mpenyo mzuri wa kugombea urais. Makonda angeweza kusubiri uteuzi wa viti vile kumi, lakini kama kawaida yetu maneno yangejaa kuwa amebebwa. Kaamua kujitosa bado maneno kibaooo.

Akili inaniambia huyu jamaa anapigwa vita asifikie ile destination yake. Usisubiri mtu akuamulie destiny yako, pambana. Hata Mungu hutenda muujiza katika kile ulicho nacho, Makonda shika ubunge kisha tuone huko mbele ya safari mambo yatakavyo unfold.

Wewe ni binadamu, hakuna binadamu asiye na mapungufu, ila mapungufu yako ni machache sana sana na yanavumilika na bado una nafasi ya kuendelea kujifunza na kubadilika. Karibu mbunge mtarajiwa wa Kigamboni tupo tayari kwenda na wewe. Tunasubiri maamuzi ya chama chetu.
Makonda hafai kwa cheo chochote ana kibiri cha mamlaka hiyo hafai,anakosa sifa hiyo tuu sifa ambayo ina madhara makubwa sana kiuongozi mtu akiwa nayo
 
Back
Top Bottom