Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Katumia haki yake kikatiba hapo sioni pengo lolote kwa chadema japo chadema ilikua bado inamuhitaji

Tulimuhitaji sana nyerere lakini MUNGU kamchukua hayo yote ni mambo ya dunia nawakumbusha

Tumche MUNGU dunia tunapita.
 
Tulishuhudia pia alipotoja Nyalandu, taharuki ilikuwa kubwa upande wa pili. Mara spika anasema sijapokea barua, mara amefukuzwa ccm bila hata kuitwa wala vikao rasmi, mara ameuza vitalu, mara hakusaini sijui nini! Hii taharuki yote ilikuwa ni ya nini?
 
Kwa hiyo mkuu unakiri ni pengo ndio maana majibu yamekua mengi!
 
Bavicha na UVCCM zimepitwa na wakati sasa wamegeuka kuwa waganganjaa!!
 
Alianza Dr. Kaborou, akafuata Dr Lamwai, akafuata Zito Kabwe, akafuata Dr Slaa na wengine wadogo wadogo. La ajabu ni kwamba kila akiondoka anayedhaniwa ni muhimu CHADEMA inazidi kuimarika. Katambi ni mtu mdogoooo sanaaa compared to those others. Ameondoka shhudia CHADEMA itakavyoongezeka. Chama ni zaidi ya individual. Hata akiondoka Mbowe na Mtei Chama kitaimarika WHY? KWA SABABU CHAMA NI YA WANACHAMA AMBAO WANAZIDI KUONGEZEKA KILA WAKATI.
 


nimetafuta neno la kukusupport nimekosa....only to say....Huijui chadema. ungejua makali ya Dr Warid Kabourou kigoma. Dr Lamwai na Ubunge wake jimbo la Ubungo....bahati mbaya umezaliwa jana hujui.

Watafute watakueleza hasara ya kujipendekeza ccm
 
nimetafuta neno la kukusupport nimekosa....only to say....Huijui chadema. ungejua makali ya Dr Warid Kabourou kigoma. Dr Lamwai na Ubunge wake jimbo la Ubungo....bahati mbaya umezaliwa jana hujui.

Watafute watakueleza hasara ya kujipendekeza ccm
Nimezaliwa jana na wote nimewakuta wapo ccm baada ya kuachana na upinzani uchwara!
 
Haya ni maneno ya kujifariji kwa mshabiki kwa uongozi hakuna budi kujitathimini vyema!
 
Msaliti na mchumia tumbo KAMWE hawezi kuacha pengo la aina yoyote ile.

Kampeni meneja wa Katambi, mwenyekiti wa BAVICHA Shinyanga Mjini aanika siri za katambi kuhamia CCM

 
yuda yule mtume msaliti aliondoka na bado mitume hawakuyumba ndivyo ilivyo kwa chadema pia
 
Mbowe should confess now about the real situations in his party..CHADEMA waache blah blah.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…