kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,447
- Thread starter
-
- #61
Ni kweli anaelalamika kapoteza hata kama hakina maana lakini jua kilikua na umuhimu dr hivi sasa umuhimu wake unaonekana kutokana na ombwe la uongozi lililopo linalopekea watu kila kukicha kutupa magwanda!Tushukuru kwa kupata lulu ktk chama chetu. Hebu nipe sifa zake kwani Pengo na sababu zake zitoshe asije huku kwetu akajiona ndo kila kitu na hili ndo tatizo tunalolizalisha ndani ya chama kwa unaonekana kuja na hoja muflisi. Kwa ujumla sijaona huyo unayemsifia
Ndio,patrobas kwa Dr Slaa ni sasa na kichuguu na mlima KilimanjaroNYIE JIFARIJINI TU
[emoji12] [emoji12] nakwelAliondoka dr Slaa na tukaendelea
Kweli kabisa. Na mleta mada angetulinganishia Heche aliyetoka na huyu ndio angesema Bavicha ilipata au kupoteza kwa kijana huyu!Binafsi nimefurahi sana kuondoka kwake aliifanya Bavicha ipooze sana.
Mdogo anaepanda anategemea kuvuna kumbuka fainali uzeeni kama huko aliko alikua akikauka koo kwa ahadi tu sidhani hata wewe ungekua mjinga kiasi hicho ila mkabeni mashinji anajua!
Watu muhimu kama Katambi? Wakati unaambiwa huko Songwe kijiji kizima kimehamia Chadema? Hicho kipara chako ungepeleka chato wakifanye uwanja wa helicopterMtikisiko wa dr slaa matokeo yake ndio haya chama kupoteza watu muhimu kwa kukosa dereva!
Wala maneno yako hayataenda bure yatatimia tu!Hata siku Mbowe akiondoka Chadema naye atakuwa takataka japo Leo ni Nyota ya jaa
Ndio majibu uliobaki nayo ngoja mashinji nae atupe gwanda!Watu muhimu kama Katambi? Wakati unaambiwa huko Songwe kijiji kizima kimehamia Chadema? Hicho kipara chako ungepeleka chato wakifanye uwanja wa helicopter
Hapana mkuu utendaji umemkuna!Hayo anayojifanya eti atasema anaweza kuyasema muda wowote akipenda na sio kutishia. Na nilichokiona huyo dogo ni mtafutaji hivyo anacheza na akili ya mwenyekiti. Si unajua babaako magu naye anapita huku jukwaani anacheka akiona malumbano anajua kaiua cdm. Na dogo ameshajua udhaifu wa mwenyekiti ni kujifanya unawachafua tu wapinzani, unapewa fungu fasta na ahadi ya cheo haraka haraka. Tena huyo dogo akitaka apige bao vizuri huko ccm anatakiwa atoke na single ya cdm ndio wametaka kumuua Lissu. Lazima atamzidi Dangote kwa hela.
Hii ni nukuu kutoka mtandao mmoja wa jamii: Chama makini kabisa hakiwezi kumuita mtu au watu wezi leo hata kama kwa kukosea, kisha kesho kikasema hapana huyu si mwizi tulikosea. Ulikoseaje? Hukuhakiki taarifa? Kuongoza nchi ni kuaminiwa, na huwezi kuaminiwa kama kauli zako zinabadilika badilika, hazina hakika.Basi sawa CCM mpeni fursa.
Ni kweli anaelalamika kapoteza hata kama hakina maana lakini jua kilikua na umuhimu dr hivi sasa umuhimu wake unaonekana kutokana na ombwe la uongozi lililopo linalopekea watu kila kukicha kutupa magwanda!
nyalandu kawafanya mmepaniculikua ni msingi wake sasa subiri uone chadema bila slaa itakavyoumia!
Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.
Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.
Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.
Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.
CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic
Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Ni kweli anaelalamika kapoteza hata kama hakina maana lakini jua kilikua na umuhimu dr hivi sasa umuhimu wake unaonekana kutokana na ombwe la uongozi lililopo linalopekea watu kila kukicha kutupa magwanda!
Mdogo wangu tindo kumbuka kipindi wakina zitto wanaondoka uongozi shupavu wa dr slaa ulikua ofisini!Kipara acha hizo, watu kuondoka wameondoa toka enzi za Slaa, kama una pima upepo kwamba mmepata kifaa ni kwamba mlemba galasa. Kina Kitila, Zitto, Mwigamba, shonza nk waliondoka enzi za Slaa tena na ugomvi mkubwa. Hapa kwa katambi kama mmelipa nyingi basi mmeingizwa chaka.
Tusubiri mange atasemaje!nyalandu kawafanya mmepanic
nasikia mmemsajili babu tale tena leo
mtamsajili hadi dr shika
mange ndo mdudu gani?Tusubiri mange atasemaje!
Amechukua nafasi ya makene!mange ndo mdudu gani?
Mdogo wangu tindo kumbuka kipindi wakina zitto wanaondoka uongozi shupavu wa dr slaa ulikua ofisini!