The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,392
- 12,976
Siku utakayogundua ujinga wako ndiyo utakapo heshimu wengine.Jina la mtu linaakisi uhalisia! Pole sana
Siku utakayogundua ujinga wako ndiyo utakapo heshimu wengine.Jina la mtu linaakisi uhalisia! Pole sana
Kumbe tumempoteza mtu mhimu sana kwa Tanzania,yaani ana miaka zaidi ya 40 kwenye wizara ya ujenzi..Ameondoka na historia kubwa sana ya ujenzi wa miundombinu ya Taifa.ndiyo maana Magufuli alimiamini sana huyu JembePatrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma.
Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na Katibu Mkuu ujenzi kuelekea Dodoma kwa safari ya Kikazi
Amezidiwa leo saa tano asubuhi na kukimbizwa Hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, Tanzania ambapo ndipo Mauti umemfika muda mchache baada ya kufikishwa.
Tutaendekea kuwapasha kinachoendelea.
Apumzike kwa Aman
Wasifu:
Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya Consalata Fathers Primary School mjini Iringa
-1975 Alimaliza elimu yake ya shule ya upili katika shule ya upili ya Moshi.
-1977-Mfugale aliajiriwa katika wizara ya ujenzi
-1983 alijipatia shahada yake ya kwanza katika chuo kikuu cha Rocky nchini India
-1991 Mfugale alisajiliwa kama muhandisi mtaalam.
-1992- Aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa barabara za mikoa.
-1994-1995-Alipokea shahada yake ya pili katika chuo kikuu cha Loughborough, nchini Uingereza
-2003-Alipokea tuzo ya Distinguished Engineering Accomplishment.
-Aliteuliwa kuwa muhandisi mkuu wa madaraja nchini Tanzania wakati huohuo na akiwa masomoni nchini Uingereza mwaka 1995 alitafiti na kutengeneza mfumo wa madaraja nchini.
-Alitengeza mfumo wa usimamizi wa madaraja kwa jina Tanzania Bridge Management System
-2014- Alisajiliwa kuwa muhandisi mshauri na kuwa mwanachama wa chama cha wahandisi Tanzania.
-Ametumia muda wake mwingi kama mtaalamu wa madaraja .
Alibuni daraja la Malagarasi lenye mita 178 kwa shilingi za Tanzania milioni 300.
-Baadhi ya madaraja aliyoweza kusimamia yakakamilika kujengwa ni:
- Mfugale akiwa mtendaji mkuu wa Tanroads amesaidia ujenzi wa madaraja 1400 nchini Tanzania.
- Daraja la Mkapa Rufiji
- Daraja la Umoja linalounganisha Tanzania na Mozambique huko Ruvuma.
- Daraja la Rusumo
- Daraja la Kikwete huko Malagarasi.
- Daraja la Nyerere huko Kigamboni
Amebuni na kusimamia barabara za kitaifa zenye urefu wa takriban kilomita 36,258.
-2018 Alituzwa tuzo ya uhandisi ya Engineering Execellency
- Alikuwa Mwenyekiti wa kikosi cha ujenzi wa Reli ya kisasa SGR inayoendelea kujengwa.
- Alikuwa mjumbe wa timu ya majadiliano ya miradi mikubwa ya umeme.
Picha: Daraja la Kikwete mto Malagarasi Daraja la Kikwete lililopo Mto Malagarasi
Na amewaacha mahandisi wa Tanroads urithi wa kujigawia tender na makampuni yao wanayoyataka. Mwamba kweli mwendo ameumaliza.Patrick Aron Mfugale hakuwahi kuwa Waziri, Mbunge wala Katibu Mkuu lakini amefanya mambo makubwa na ameacha alama kubwa katika Taifa letu la Tanzania. hakika mwendo kaumaliza, apumzike kwa amani
Mfugale na mi pesa yake yote anaweza kupata kipindupindu ?Mtu akifa hata kwa kipindupindu mtasema covid ......
Kwa uandishi huu nimeona ni kwanini MBOWE ni MWENYEKITIAkili za MaCCM azina akili. Bure kabisa nyie legacy ya Mwendawazimu.
Kodi ya Bhakresa nipesa yangu mimi mlaji.
Makodi ya mitandao ya simu ni pesa yangu mimi mtumiaji.
Makodi kandamizi kila uchao ili kulipa madeni ya mikopo ya serikali ya CCM ”DENI la TAIFA” ni kodi yangu.
Teuzi zinazokufanya uwe MAJUNUNI ni kodi yangu ndio mshahara wako.
Upo upo tu kama umekatwa kichwa, Pumbavu kabisa kabisa.
Kichwani umejaza MAVI badala ya ubongo. BORA BABAKO ANGEPIGA NYETO TU.Kila nikiiangalia hii barabara iliyojengwa kuanzia Mwenge kwenda Tegeta inayopitia Lugalo Jeshini ilivyoharibika haraka halafu kuna Mhandisi Mmoja aliniambia kuwa upana wake na ujazo wake ulipunguzwa Kinyume na ilivyotakiwa nalazimika tu Kibinadamu kutoa Pole Kwake ila ninaitoa kwa Shingo upande mno.
Kutokea tarehe 17 Machi, 2021 hadi jana tarehe 29 Juni, 2021 Israeli anaupiga mwingi mno kiasi kwamba hata akiomba Mchango wa Kumuongezea 'Morale' aendelee Kuupiga mwingi na kwa sasa ajikite pale Bungeni kisha Wizara ya Viwanda na Biashara halafu amalizie na Jengo jirani na Kanisa la St. Peters Oysterbay tutamtolea tu kwani anajitahidi sana.
iakhirishweRIP
Sabasaba ihairishwe!
Usiwabishie watu mkuu. Walishaenda wakarudi.Mjomba hakuna kitu kinaitwa Jehanamu ukiondoka umeondoka.
Bado NduagaiWakati yanafanya UFISADI na ULAFI wa kodi zetu, utasema hayatakufa na kufikiwa.. aende tu asiogope kuingia JEHANAMU, Mwendawazimu na timu yake wanamsubiri.😂😂😂
SureMjomba hakuna kitu kinaitwa Jehanamu ukiondoka umeondoka.
Wewe ni mimi kabisa hata hiyo mbingu wanayosema hakuna kitu kama hichoMjomba hakuna kitu kinaitwa Jehanamu ukiondoka umeondoka.