Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,242
Ndio maana inakuwa taabu sana kwetu sisi kujua mambo mazuri ya africa kabla ya kuja watu weupe. Wanatuaminisha kwa historia mbaya tuu kuhusu africaAfrica itabak yenye historia ngumu sana
Ndio maana inakuwa taabu sana kwetu sisi kujua mambo mazuri ya africa kabla ya kuja watu weupe. Wanatuaminisha kwa historia mbaya tuu kuhusu africaAfrica itabak yenye historia ngumu sana
SULPPHURIC ACID
Ka luambo makiadi franco kanaitwa candidat mobutu (mobutu our candadate) na biso candidatWenyewe walikuwa wanamuita Papaa Mobutu, kuna kańyimbo kake flani walikuwa wanämuimba sana
Unazungumzia "lokuta monene ? "Wenyewe walikuwa wanamuita Papaa Mobutu, kuna kańyimbo kake flani walikuwa wanämuimba sana
Huyo mkuu kachanganya. Hiyo ya mswaki ilikua proposed by CIA lakini wakaachana nayoUnasema patrice lumumba aliuawa kwa kuwekewa sumu kwenye mswaki? Aisee... Nadhan mimi nlikuwa na uelewa wa tofauti.maana mimi nafaham alikuwa excuted...aliuawa kwa kupigwa risasi.