Patrice Lumumba

Unasema patrice lumumba aliuawa kwa kuwekewa sumu kwenye mswaki? Aisee... Nadhan mimi nlikuwa na uelewa wa tofauti.maana mimi nafaham alikuwa excuted...aliuawa kwa kupigwa risasi.

View attachment 829797"Licha ya kubeba historia ya chama kikongwe nchini, mtaa wa Lumumba umebeba jina la aliekuwa mmoja wapo wa viongozi bora kabisa wa Afrika ya wakati huo. Si mwingine bali ni Patrice Lumumba"
Huu ukiwa ni utangulizi wa masimulizi ya kumbukumbu za mauaji ya Patrice Lumumba na waasisi wa kiafrika dhidi ya The central intelligence agency (CIA) na washirika wake wakati wa vita baridi.

Kutokana na kujihami na kuitaji kupambana na umoja wa kisoviet maajenti wa CIA walitawanyika kila Kona ili kudhibiti tawala zinazoinukia kupitia Soviet Union ya wakati huo kabla haijasambalatika.
Hivyo kuifanya CIA kuwa na historia ndefu juu ya mauaji na kusaidia mapinduzi kwa viongozi ndani ya bara la Afrika, na hata kujaribu kushawishi makundi mengi ya waasi ili tu kuharibu na kuvunja umoja wowote uliokuwa upo au unachipukia.
Kuna matukio mengi yaliofanywa na CIA dhidi ya tawala mbalimbali lakini leo tutayaangazia machache tu ikiwemo mauaji ya Patrice Lumumba,
Huyu jamaa nimekuwa nikimkubali sana kwa machache aliyokuwa akiyafanya kwaajiri ya Kongo na Afrika.
Patrice anakumbukwa kwa misimamo yake na uimara katika kusimamia ukweli na haki.
Kwa ufupi Patrice Lumumba alizaliwa July 2, 1925 nchini Kongo wakati huo ikiitwa Belgian Congo, baba yake akiitwa François Tolenga na mama yake akiwa Julienne Wamato Lomendja wakiwa wakulima katika kitongoji cha Onalua, mkoa wa Kasai.
Patrice Lumumba nje ya historia yake ndefu ya elimu yake, maisha yake na familia yake, pia alikuwa na uwezo wa kuzungumza lugha tano ikiwemo Kiswahili, Tutela, Kifalansa, kilingala,na Tshiluba.
Patrice Lumumba ni mmoja wapo wa watu ninao wafananisha sana kimatendo na mkongwe Fredrick Douglas. Fred akiwa mtumwa na mmoja wa viongozi maarufu sana katika historia za Marekani, huyu alikuwa mtu mweusi, mwenye asili ya Afrika. Kabla hatujamzungumzia Patrice Lumumba, ngoja tujikumbushe kidogo kuhusu Fredrick DouglasView attachment 829820katika kitabu chenye nukuu fupi fupi ya vitabu vya historia za Marekani kiitwacho
"Awake to world's unfolding" kitabu kilichobeba kumbukumbu mbalimbali kuhusu Marekani na misingi yake, vitabu maarufu kama vile "The diary of Anne Frank, Marco Polo, the incredible traveler nadhani Marco Polo kazungumziwa sana hapa JF, 20000 Leagues under the sea, liberty or death, The Gettysburg address ambayo ni mojawapo ya hotuba nzuri iliyotolewa na Abraham Lincoln mnamo November 19, 1863 huko Gettysburg, Pennsylvania na vitabu vingine vingi.
Tukirudi kwa bwana Fredrick kabla ya kuendelea na simulizi yetu kuhusu Patrice Lumumba,
Fredrick alizaliwa mwaka 1818 huko Marekani, na ni mmoja wapo wa watu weusi mashuhuri katika ukombozi wa Dunia akiongozana na kina Martin Luther King, Malcolm X, Desmond Tutu, Nelson Mandela, Koffi Annan, Mohamed Ali na watu wengine wengi weusi walioleta mabadiliko katika Dunia ya kkibaguzi,
Fredrick anakumbukwa kwa nukuu zake nyingi, mfano ni ule walaka wake usemao

"Nilikuwa Fredrick Douglas.
Nilileta ulimwengu mpya na nguvu za kujieleza.
Nilikuwa Fredrick Douglas
Mhariri wa North Star Keen, maneno mazuri ambayo hayawezi kuzikwa au kusahaulika, nilikuwa ni mwenye ujasiri wa maneno ya mapigano, maneno ambayo yalikuwa na kukua katika mioyo ya wanadamu mpaka ikawa msitu wa wanaume wanaoshambulia.
Nina kuhimiza kuruka silaha na kupigana na kifo, nguvu ambazo zingemzika serikali na uhuru wako katika kabuli hilo lililokuwa na tumaini.
Nilikuwa Fredrick Douglas kuna sanamu yangu katika mraba wa Rochester, nilikuwa mhalili wa nyota ya kaskazini, niliwapigania watu wangu kwa sauti kubwa ya neno.
( Maneno yametafsiliwa kwa kiswahili, tokea kiingereza)View attachment 829827 Sanamu ya Fredrick Douglas

Nimemfananisha Fredrick na Patrice Lumumba kutokana na kwamba wote walijitoa kwaajiri ya kupigana haki za watu weusi, ijapokuwa Patrice Lumumba aliuwawa kwa kuwekewa sumu katika mswaki huku Fredrick akifa mwenyewe tu kwa maradhi ya kawaida.
Lakini haikuwa sawa kwa Patrice Lumumba ambapo tunaona muda mfupi tu baada ya Kongo kujipatia uhuru mwaka 1960 na baada ya hapo kutokea mtikisiko na mpasuko ndani ya jeshi na hii ikionyesha mwanzo wa machafuko na mauaji ndani ya Kongo, ndipo Patrice akaamua kuomba msaada kwa umoja wa mataifa na mshirika wake mkubwa Marekani ili kudhibiti waliokuwa wafuatiliaji wa katangan waliokuwa wakipata msaada toka kwa wabelgiji katika kuleta machafuko.
Lakini United national na mshirika wake Marekani wakakataa kumsaidia Lumumba, hivyo kufanya Lumumba kugeukia kwa umoja wa Soviet kwaajiri ya kupata msaada na hapo ndipo palisababisha kuongezeka kwa tofauti na Rais wa Kongo ya wakati huo Joseph Kwasababu na viongozi wengine wakuu kama vile Joseph Dèsirè Mobutu pamoja na Marekani na Ubelgiji iliyokuwa ikiitawala Kongo.
Baada ya Lumumba kuonekana kuwa karibu na umoja wa Soviet ya wakati huo huku kukiwa na upinzani mkubwa kati ya Soviet na mataifa mengine ya ulaya na Marekani yenyewe chini ya kivuli cha vita baridi (cold war) Patrice Lumumba alikamatwa na kuwekwa Gerezani na mamlaka ya serikali chini ya Mobutu na kuuwawa, huku mipango yote ikisukwa na CIA na Ubelgiji ili kupambana na umoja wa Soviet.
Baada ya Lumumba kuuwawa mwili wake ulikatwa katwa na kuyeyushwa na acid huku mauaji hayo yakihusisha wa Belgium na Wamarekani.

Kwa kumalizia kidogo tujikumbushe nukuu moja wapo ya aliekuwa Waziri mkuu wa kwanza wa Kongo, Patrice Lumumba

"Siku itakuja ambapo historia itasema.....
Afrika itaandika historia yake mwenyewe.......
Itakuwa historia ya utukufu na heshima" (PATRICE LUMUMBA)View attachment 829828
 
Unasema patrice lumumba aliuawa kwa kuwekewa sumu kwenye mswaki? Aisee... Nadhan mimi nlikuwa na uelewa wa tofauti.maana mimi nafaham alikuwa excuted...aliuawa kwa kupigwa risasi.
Ndio mkuu nakubaliana na wewe, Patrice alipigwa risasi na kukatwa katwa kisha kuteketeza mabaki yake yote na acid.
Ile issue ya mswaki lilikuwa jaribio tu.
 
sahihi " kabisa'' Mimi nimekaa na WA Congo kiasi"" aiseee ni watu wenye fitina kubwa mnooo", na wanapenda kuongea sana tena kwa sauti ya juu" achilia mbali misifa
Haahaaa...motombo nzambe na ngai, toleka toleka

Wacongo wanaropoka asee...afuu wanapenda ushirikina, umbea, wakuda hakuna mfano
 
Haahaaa...motombo nzambe na ngai, toleka toleka

Wacongo wanaropoka asee...afuu wanapenda ushirikina, umbea, wakuda hakuna mfano
hivyo hivyo" mkuu" huwaga" hawajui kuongea taratibu" wakiongea" utasema vile wanagombana"" ustaarabu zero kabisaaaa"" hapo kwenye ukuda ndio usiseme" ...nimewahi kukaa nao kwenye MA band" nawajua" vyema mnooo"", so watu wenye sifa kama hizo" hawawezi kuwa na Utu " abadani"
 
Sure mkuu....wacongo wana roho ngumu ajabu! Si huwa wanakula dog, baboon, watu, unafikiri masihara hayo
 
Sure mkuu....wacongo wana roho ngumu ajabu! Si huwa wanakula dog, baboon, watu, unafikiri masihara hayo
na ndio maana licha ya kufanyiwa hila na mataifa makubwa" ili yaendelee kuwa tumia na kuvuna rasilimali zao" ...Hata hivyo wao wenye pia nikiini cha kufanyiwa hujuma' kwa sabbu" hawana upendo wa dhati baina ya wao kwa wao".... watu wa kufitiniana kila wakati".... hebu ona anayofanyiwa katumbi na kabila" halafu tazama " pesa wanayotoza" kwa kila mgombea anayekwenda" kuchukua form yakugombea uraisi"... USD100k"
 
Ni historia nzuri ila msimuliaji haujaitendea haki, mtiririko haujakaa vizuri asee.
 
na ndio maana licha ya kufanyiwa hila na mataifa makubwa" ili yaendelee kuwa tumia na kuvuna rasilimali zao" ...Hata hivyo wao wenye pia nikiini cha kufanyiwa hujuma' kwa sabbu" hawana upendo wa dhati baina ya wao kwa wao".... watu wa kufitiniana kila wakati".... hebu ona anayofanyiwa katumbi na kabila" halafu tazama " pesa wanayotoza" kwa kila mgombea anayekwenda" kuchukua form yakugombea uraisi"... USD100k"
Afuu wanapenda mambo makubwa
sahihi " kabisa'' Mimi nimekaa na WA Congo kiasi"" aiseee ni watu wenye fitina kubwa mnooo", na wanapenda kuongea sana tena kwa sauti ya juu" achilia mbali misifa
Haahaaa...motombo nzambe na ngai, toleka toleka

Wacongo wanaropoka asee...afuu wanapenda ushirikina, umbea, wakuda hakuna mfano
hivyo hivyo" mkuu" huwaga" hawajui kuongea taratibu" wakiongea" utasema vile wanagombana"" ustaarabu zero kabisaaaa"" hapo kwenye ukuda ndio usiseme" ...nimewahi kukaa nao kwenye MA band" nawajua" vyema mnooo"", so watu wenye sifa kama hizo" hawawezi kuwa na Utu " abadani"
Sure mkuu....wacongo wana roho ngumu ajabu! Si huwa wanakula dog, baboon, watu, unafikiri masihara hayo
hahaaa " kweli" kwa ulaji wa hivyo vyakula hauwezi kuwa sawa
Niko Congo kwa muda wa mwaka na miezi kadhaa sasa ,ni kweli msemayo
 
Niliona hii clip PL alipokamatwa huku analishwa speech yake while Mobutu chuckled!

Asee ile clip I wet in tears!

Nilivyoanza kufatilia hizo historia zao hasa Lumumba I wish angekuwepo kizazi changu daah!

Zamani kulikuwa na majembe hasa!
Hata siku hizi kuna akina Lipumba (majembe).
 
Back
Top Bottom