Patrice Lumumba

Patrice Lumumba

Wee ni mjuzi ..huyu jamaa alikufaje?
Tarehe 11 january 1961 .lumumba alipelekwa katanga, akawa ameshikiliwa gerezani pamoja na kina Lumumba, Mpolo na Okito , mamlaka zikaona kukaa nae kungeharibu mambo kwani alitaka kuunda serikali yake mwenyewe na pia baadhi ya wanajeshi walitaka aachiwe hivyo usiku wa manane akapelekwa sehemu isiyojulikana porini yeye na wenzie wakafungwa kwenye miti wakateswa na kukatwa sehemu mbali mbali za mwili (wakawa hawajafa) wanajeshi wakasimama mbele yao na kuwapiga risasi then miili ikakatwa katwa tena na kuwekwa kwenye surphilic acid mpaka ikabaki mifupa ambayo ilifukiwa sehemu mbali mbali hapo porini (ili isieze kupatikana)
 
Surphilic acid ni kifo cha mateso makali,why all this?
Sababu maagizo yalitoka marekani na ubelgiji kuwa jamaa auwawe na aondoshwe kabisa duniani, mwili usipatikane , nadhani ilikua na lengo la kuepusha wafuasi wake kuutumia kama inspiration ndo maana mpaka sasa marekani inafanya hivi kwa wengine kama osama
 
No waliwa m shoot akafa then wakamkakata kata vipande na kuviyeyusha kwenye acid.
Kwa kweli africans usaliti hatujaanza leo maana mobutu kwa tamaa ya power huku akiwa backed na cia plus belgium alikubali kumgeuka aliyekuwa mkuu wa nchi Lumumba.
Na wale wazee waliotekeleza niliona wakisema im not guilty because he insulted our king.Hapa ndipo najua kamwe wazungu si rafiki zangu hata punje wapo tu kwa ajili ya maslahi yao.
Ingekuwa n israel walai wange trace wale wauaji na kuwamaliza one after another.
Nadhan damu ya Lumumba inalilia haki thus why congo won't settle down forever.
Mkuu , kuna ukweli ambao umefichwa kuhusu lumumba, ni hivi jamaa nae ana mabaya ya machafuko watu walikufa kisa yeye kugombania madaraka na aliyekua rais joseph kasavubu
Mwanzo mobutu hakutaka madaraka ndio maana akawatoa rais na waziri mkuu madarakani then akatulia lakini baadae akaona awe rais yeye, ndo maana kwenye hotuba yake alisema hivi "kwa miaka mitano nchi imekua kwenye machafuko sababu ya wanasiasa hivo kwa miaka mitano ijayo hatutokua na siasa"
 
Tarehe 11 january 1961 .lumumba alipelekwa katanga, akawa ameshikiliwa gerezani pamoja na kina Lumumba, Mpolo na Okito , mamlaka zikaona kukaa nae kungeharibu mambo kwani alitaka kuunda serikali yake mwenyewe na pia baadhi ya wanajeshi walitaka aachiwe hivyo usiku wa manane akapelekwa sehemu isiyojulikana porini yeye na wenzie wakafungwa kwenye miti wakateswa na kukatwa sehemu mbali mbali za mwili (wakawa hawajafa) wanajeshi wakasimama mbele yao na kuwapiga risasi then miili ikakatwa katwa tena na kuwekwa kwenye surphilic acid mpaka ikabaki mifupa ambayo ilifukiwa sehemu mbali mbali hapo porini (ili isieze kupatikana)[/QUO Imekaa vizuri sana.
 
Tarehe 11 january 1961 .lumumba alipelekwa katanga, akawa ameshikiliwa gerezani pamoja na kina Lumumba, Mpolo na Okito , mamlaka zikaona kukaa nae kungeharibu mambo kwani alitaka kuunda serikali yake mwenyewe na pia baadhi ya wanajeshi walitaka aachiwe hivyo usiku wa manane akapelekwa sehemu isiyojulikana porini yeye na wenzie wakafungwa kwenye miti wakateswa na kukatwa sehemu mbali mbali za mwili (wakawa hawajafa) wanajeshi wakasimama mbele yao na kuwapiga risasi then miili ikakatwa katwa tena na kuwekwa kwenye surphilic acid mpaka ikabaki mifupa ambayo ilifukiwa sehemu mbali mbali hapo porini (ili isieze kupatikana)
Ebwanaee!...kukatwa katwa ukiwa hai?

Congo will never settle or rest till Lumumba awasamehe!
 
Sababu maagizo yalitoka marekani na ubelgiji kuwa jamaa auwawe na aondoshwe kabisa duniani, mwili usipatikane , nadhani ilikua na lengo la kuepusha wafuasi wake kuutumia kama inspiration ndo maana mpaka sasa marekani inafanya hivi kwa wengine kama osama
Ila marekani mmh....kila kitu anagonga hodi! Kashalaanika siku nyingi huyo na kizazi chake ( drugs, gays, surgeries, natural disasters ) yanawatosha hayoo!

Ile speech PL aliyokuwa analishwa ilikuwa yake ilikuwa imeandikwa nini?
 
Mkuu , kuna ukweli ambao umefichwa kuhusu lumumba, ni hivi jamaa nae ana mabaya ya machafuko watu walikufa kisa yeye kugombania madaraka na aliyekua rais joseph kasavubu
Mwanzo mobutu hakutaka madaraka ndio maana akawatoa rais na waziri mkuu madarakani then akatulia lakini baadae akaona awe rais yeye, ndo maana kwenye hotuba yake alisema hivi "kwa miaka mitano nchi imekua kwenye machafuko sababu ya wanasiasa hivo kwa miaka mitano ijayo hatutokua na siasa"
Unataka kusema Lumumba nae hakuwa msafi?

Nasikia alitaka kumpindua Kasavubu?

Nae alikuwa mlevi wa madaraka, tamaa and the likes?
 
Niliona hii clip PL alipokamatwa huku analishwa speech yake while Mobutu chuckled!

Asee ile clip I wet in tears!

Nilivyoanza kufatilia hizo historia zao hasa Lumumba I wish angekuwepo kizazi changu daah!

Zamani kulikuwa na majembe hasa!
Kila kizazi kina mashujaa wake brother, kuna vizazi vitakuja vitatamani vingalikuwepo kipindi hiki na kuwashuhudia mashujaa tulionao sasa...
 
Kila kizazi kina mashujaa wake brother, kuna vizazi vitakuja vitatamani vingalikuwepo kipindi hiki na kuwashuhudia mashujaa tulionao sasa...
Kweli kabisa Mkuu Prium, nao watakumbukwa kwa nafasi zao.
 
Tarehe 11 january 1961 .lumumba alipelekwa katanga, akawa ameshikiliwa gerezani pamoja na kina Lumumba, Mpolo na Okito , mamlaka zikaona kukaa nae kungeharibu mambo kwani alitaka kuunda serikali yake mwenyewe na pia baadhi ya wanajeshi walitaka aachiwe hivyo usiku wa manane akapelekwa sehemu isiyojulikana porini yeye na wenzie wakafungwa kwenye miti wakateswa na kukatwa sehemu mbali mbali za mwili (wakawa hawajafa) wanajeshi wakasimama mbele yao na kuwapiga risasi then miili ikakatwa katwa tena na kuwekwa kwenye surphilic acid mpaka ikabaki mifupa ambayo ilifukiwa sehemu mbali mbali hapo porini (ili isieze kupatikana)
Na wewe Mobutu ni mmoja wa mliyechangia hayo mauaji. Mungu akuweke unapostahili.
 
My beloved companion,

I write you these words not knowing whether you will receive them, when you will receive them, and whether I will still be alive when you read them. Throughout my struggle for the independence of my country, I have never doubted for a single instant that the sacred cause to which my comrades and I have dedicated our entire lives would triumph in the end. But what we wanted for our country — its right to an honorable life, to perfect dignity, to independence with no restrictions — was never wanted by Belgian colonialism and its Western allies, who found direct and indirect, intentional and unintentional support among certain high officials of the United Nations, that body in which we placed all our trust when we called on it for help.

They have corrupted some of our countrymen; they have bought others; they have done their part to distort the truth and defile our independence. What else can I say? ‘That whether dead or alive, free or in prison by order of the colonialists, it is not my person that is important. What is important is the Congo, our poor people whose independence has been turned into a cage, with people looking at us from outside the bars, sometimes with charitable compassion, sometimes with glee and delight. But my faith will remain unshakable. I know and feel in my very heart of hearts that sooner or later my people will rid themselves of all their enemies, foreign and domestic, that they will rise up as one to say no to the shame and degradation of colonialism and regain their dignity in the pure light of day.

We are not alone. Africa, Asia, and the free and liberated peoples in every corner of the globe will ever remain at the side of the millions of Congolese who will not abandon the struggle until the day when there will be no more colonizers and no more of their mercenaries in our country. I want my children, whom I leave behind and perhaps will never see again, to be told that the future of the Congo is beautiful and that their country expects them, as it expects every Congolese, to fulfill the sacred task of rebuilding our independence, our sovereignty; for without justice there is no dignity and without independence there are no free men.

Neither brutal assaults, nor cruel mistreatment, nor torture have ever led me to beg for mercy, for I prefer to die with my head held high, unshakable faith, and the greatest confidence in the destiny of my country rather than live in slavery and contempt for sacred principles. History will one day have its say; it will not be the history taught in the United Nations, Washington, Paris, or Brussels, however, but the history taught in the countries that have rid themselves of colonialism and its puppets. Africa will write its own history and both north and south of the Sahara it will be a history full of glory and dignity.

Do not weep for me, my companion; I know that my country, now suffering so much, ‘will be able to defend its independence and its freedom. Long live the Congo! Long live Africa!

PATRICE
 
Katka doçumentary ya "the rise and fall of Mobutu" kùna sehemu inamuonyesha P. Lumumba ķaenda Belgium kukabidhiwa nchi ya Congo(uhuru) pembeni anaonekana Mobutu yèye alienda kama ofìsa Habaři kumbe aļikuwa na mikakatì yake.

Ila Mobutu alihojiwa na mwandishi wa habari na katika mahojiano aliulizwa kuhusika kwake na kifo cha Lumumba na aļikana kuhusika
 
Congo hadi leo inamlilia Lumumba na makanisani kwao wanamuombea kama Baba wa taifa , niliingia kanisa moja kisangani basi kwenye sala akatajwa pia.
 
Back
Top Bottom