Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,479
- 2,327
Wadau nawasabahi.
Hivi Karibu Mkuu wa Mkoa wa Dsm pamoja na Viongozi wa Manispaa za Dar es salaam walikuwa kwenye heka heka za kupambana na Wadada wanaujiuza Maarufu kwa jina la MADADA POA na kupelekea Kubomoa na Nyumba walizokuwa Wanaendesha hizo Buashara.
Nilitegemea lile Zoezi lingekuwa Endelevu kwani Bado Biashara hiyo inaendelea Maeneo mbalimbali ya Jiji la DAR.
Je mbona Kasi ya kuwakamata imezima Ghafla kulikoni?
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app