Patashika ya Mkuu wa Mkoa kufunga madanguro imeishia wapi?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,043
Wadau nawasabahi.

Hivi Karibu Mkuu wa Mkoa wa Dsm pamoja na Viongozi wa Manispaa za Dar es salaam walikuwa kwenye heka heka za kupambana na Wadada wanaujiuza Maarufu kwa jina la MADADA POA na kupelekea Kubomoa na Nyumba walizokuwa Wanaendesha hizo Buashara.

Nilitegemea lile Zoezi lingekuwa Endelevu kwani Bado Biashara hiyo inaendelea Maeneo mbalimbali ya Jiji la DAR.
Je mbona Kasi ya kuwakamata imezima Ghafla kulikoni?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wadau nawasabahi.Hivi Karibu Mkuu wa Mkoa wa Dsm pamoja na Viongozi wa Manispaa za Dar es salaam walikuwa kwenye heka heka za kupambana na Wadada wanaujiuza Maarufu kwa jina la MADADA POA na kupelekea Kubomoa na Nyumba walizokuwa Wanaendesha hizo Buashara.Nilitegemea lile Zoezi lingekuwa Endelevu kwani Bado Biashara hiyo inaendelea Maeneo mbalimbali ya Jiji la DAR.

Ameua bila kukusudia....amesababisha murder kesi.....hastahili kuwepo pale
 
Viongozi wengi ni wakurupukaji.

HAWANA MIPANGO ENDELEVU (HIYO NDIO SABABU).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wadau nawasabahi.Hivi Karibu Mkuu wa Mkoa wa Dsm pamoja na Viongozi wa Manispaa za Dar es salaam walikuwa kwenye heka heka za kupambana na Wadada wanaujiuza Maarufu kwa jina la MADADA POA na kupelekea Kubomoa na Nyumba walizokuwa Wanaendesha hizo Buashara.Nilitegemea lile Zoezi lingekuwa Endelevu kwani Bado Biashara hiyo inaendelea Maeneo mbalimbali ya Jiji la DAR.
Je mbona Kasi ya kuwakamata imezima Ghafla kulikoni?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Police walikuwa wanawakamata na kuwala kwa lazima, walipokataliwa na mlinzi wakamuua wakachukua barmaid.
 
Kiufupi hawezi kutokomeza imagine hapa kigamboni malaya wanajiuza uwanjani tena pembezoni mwa barabara inayoelekea polisi na kituo hakiko mbali ni kama mita 300 hivi watu wanauziana utamu kama kawa, chala alichokosea ni kutaka kujionyesha hii biashara ukitaka ikome piga mwendo wa kimya kimya mbona wao wenyewe wanajiachia wanasepa ila ukitaka kujitangaza kuna kuna changamoto kibao kama hivyo kashaua anafanyaje sasa....... Ile ni starehe huwezi kamata mtu katoka kunyanduana ukasema kafanya kosa haiingii akilini kabisa unaweza vunja mabanda yao ila zipo guest house ambazo zinatoa huduma hizo unawazuiaje na hao wapo malaya wana vyumba vyao ukimtaka unampanga anakupa location unajilia vinono unalipa unalala mbele ni ngumu sana kudhibiti biashara hiyo
 
Polisi wenyewe ni wateja wa hao machangu
 
Wadau nawasabahi.Hivi Karibu Mkuu wa Mkoa wa Dsm pamoja na Viongozi wa Manispaa za Dar es salaam walikuwa kwenye heka heka za kupambana na Wadada wanaujiuza Maarufu kwa jina la MADADA POA na kupelekea Kubomoa na Nyumba walizokuwa Wanaendesha hizo Buashara.Nilitegemea lile Zoezi lingekuwa Endelevu kwani Bado Biashara hiyo inaendelea Maeneo mbalimbali ya Jiji la DAR.
Je mbona Kasi ya kuwakamata imezima Ghafla kulikoni?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Usipoingia kwenye mfumo wa chama huwezi kuendelea kusurvive.
Over!!!
Zile biashara za watu
 
Wadau nawasabahi.

Hivi Karibu Mkuu wa Mkoa wa Dsm pamoja na Viongozi wa Manispaa za Dar es salaam walikuwa kwenye heka heka za kupambana na Wadada wanaujiuza Maarufu kwa jina la MADADA POA na kupelekea Kubomoa na Nyumba walizokuwa Wanaendesha hizo Buashara.

Nilitegemea lile Zoezi lingekuwa Endelevu kwani Bado Biashara hiyo inaendelea Maeneo mbalimbali ya Jiji la DAR.
Je mbona Kasi ya kuwakamata imezima Ghafla kulikoni?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Kwakuwa wao wanapesa na kuhonga wanataka watuharibie wanyonge madabwe yetu
 
Nilipotoka mkoani nilipita pale lubumbashi nilikuta wamejaa tele. Chala amefel ile biashara haiwez kuisha kamwe
 
Back
Top Bottom