Wewe huna shida ya hela au huna shida ya wateja?Mwenyeshida ya samaki ni mtumaji au mpokeaji?
Wewe huna shida ya hela au huna shida ya wateja?Mwenyeshida ya samaki ni mtumaji au mpokeaji?
Mimi na shida na hela ndio maana situmi mzigo bila pesa.Wewe huna shida ya hela au huna shida ya wateja?
1kg 20kDagaa waliokaangwa sado ni kiasi gani..?
Kule mwanzo si umeandka kg1 ni 18k....imekuwa tena 20k1kg 20k
Bei zinabadilika kulingana upatikanaji wa samaki.Kule mwanzo si umeandka kg1 ni 18k....imekuwa tena 20k
Nauliza hvyo kwasabbu wanasema huwa wanauza kwa sado....sio kg sasa sijajua sado =kg au
Ikiwa chini ya 18k nistue mkuu nahitaji kg 2Bei zinabadilika kulingana upatikanaji wa samaki.
Mimi siuzi kwa sado nauza kwa kg.
Sawa.Ikiwa chini ya 18k nistue mkuu nahitaji kg 2
Unatakiwa uniambia size ya Sato unataka.Sato wa 30000 wa kukaanga wanakuwa wangapi?na wa size gani?
Unatakiwa uniambia size ya Sato unataka.
Size kubwa mkuuUnatakiwa uniambia size ya Sato unataka.
Unauweza kupata 3Size kubwa mkuu
Mwanza hakuna uduviSawa mkuu, naomba picha ya Uduvi unaouzaga
Kuna nini?Mwanza hakuna uduvi
Umeona eehPole mkuu. Huku kwenye mtandao usiamini watu kabisa kabisa.