Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Samaki leo wameshuka bei kwasababu ya kupatikana kwa wingi
 
1000066437.jpg
 
Maisha ni very strange, mimi nipo kanda ya ziwa,lakini nahangaika kupata samaki na sea food. Hakuna kitu natamani kuweka mdomoni mwangu kama Jodari, Kibua, changu, preza, ngisi nk. Hawa Sato na Sangara ni wazuri nakula, lakini samaki wa bahari ni kitu kingine
Hapo nakuunga mkono, samaki wa baharini hasa jodari na kibua ni habari nyingine kabisa
 
Biashara ya mtandaoni huwa inaambatana na utapeli
Umekariri,utapeli ni utapeli na biashara za mtandaoni ni zitabaki kuwa biashara kama zingine.

Mbona kuna watu wanatepeli watu mtaani kwa mazingira tofauti bila kutumia mtandao baadhi kwakuwauzi simu kisha kuwafungia vipande vya sabuni hawa nao ni biashara za mtandaoni?
 
Ofisi yako hapo Mwanza inapatikana maeneo gani? Nahitaji kuja kuchukua mzigo wa kutosha mimi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom