Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Bei ya Dagaa wa kakavu kuanzia kg 100 ni 8,000.

unaweza kulipia mzigo wako kwakutumia lipa namba hapo juu au unaweza kuweka order yako kupitia www.digxam.site
 
Dagaa waliokaangwa bei gani na transport mpaka dar
 
Hawa ni Dagaa wa Supu,Watamu sana.
1000069875.jpg
 
Mbeya kuna watu wengi na wajua tatizo naweza kuwatu wakafuka Mbeya ukagoma kuwachukua ukasema nilijua utani wa mtandaoni.
Waliowengi wapo mtandaoni lakini wanapachukulia kama sehemu ya kuzugia.
 
Kama wewe ni nfugaji wa kuku na unahitaji Uduvi au Vichwa vya dagaa hii ofa inakuhusu.
 
1.Biashara ni Matangazo,wangapi wanahita chakula cha kukuu kwa bei ya offa?

2.List ya mchanganyiko au aina ya za vyakula vya kuku bonyeza hapo kwenye link

3.Kama ni moja wa watu ambao wamenunua samaki kupitia kwenye platforms zetu na page zetu za online naomba comment chini usikae kimya.

 
Kunatofauti kubwa sana bro kuagiza kwangu na kununua hapo dar,
  1. Samaki wangu ni fresh.
  2. Nawatumbua na kuwaosha kabla ya kuwatuma.
  3. Kila kilo moja ya samaki nitakakutumia kuna punguzu la bei ukilinganisha na hapo.
4. Umesahau hili: akikutumia hela ana asilimia 100 ya kupigwa
 
Back
Top Bottom