Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,962
Nimechekaaa😆😆Nisaidie samaki gani hata kwa sie wa bara naweza kumfurahia maana nasikia jodari sijui nungu mara kibua, basi mwenzio nahisi km majini jini tu😀😀
1.changu
2.tasi
3kibua
4.Jodari (ukimkosea kumuandaa anawasha🥴)
Hao jaribu kukaanga .wazuri very tastey.
Bdw Nakumis!
Eti unahis majini majini 🤣🤣🤣