johari Joh
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 105
- 87
- Thread starter
- #181
Hiki kwanini mtu akitangaza biashara mtandaoni baadhi ya watu uchukia, kukasirika na kutamini ushindwe ukose wateja upotee kwenye ramani.
Hivi hili kundila la hawa watu unufaika na nini watu wakishindwa kufikia malengo?
Hivi hili kundila la hawa watu unufaika na nini watu wakishindwa kufikia malengo?