Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Ungekua umeagiza hata kilo moja ukaibiwa ndio ungekuja hapa na hizo story.

Nikikuaombia thibisha unaweza au unangea tu kisa una MB kwenye simu yako.

Sio kila mtu anayetangaza biashara mtandaoni ni mwizi,unaoneka upo kimkakati zaidi,tafuta wateja tangaza bishara zako,unapoteza muda mwingi kupotosha watu kwenye thread za watu.
Nina mashaka unaweza kuwa ni wewe ndiye uliyenipiga. Alikuwa ni mwanamke na alileta tangazo hivi hivi kama wewe
Sasa nisingizie uongo ili iweje, mimi nawaambia ukweli niliibiwa kupitia tangazo kama hili hili ili wachukue tahadhari
 
Asante Mkuu, ni siku nyingi sana hata namba nilishazifuta. Binadamu sio waaminifu kabisa mtu anakuja mitandaoni anajitangaza ukishamtumia pesa anakuletea mzigo feki. Wabongo tuna safari ndefu ya mafanikio
Uko sawa. Uaminifu kwa mbongo ama mkenya mara nyingi huwa ni mdogo mno
 
Nina mashaka unaweza kuwa ni wewe ndiye uliyenipiga. Alikuwa ni mwanamke na alileta tangazo hivi hivi kama wewe
Sasa nisingizie uongo ili iweje, mimi nawaambia ukweli niliibiwa kupitia tangazo kama hili hili ili wachukue tahadhari
unamatatizo.
 
Maisha ni very strange, mimi nipo kanda ya ziwa,lakini nahangaika kupata samaki na sea food. Hakuna kitu natamani kuweka mdomoni mwangu kama Jodari, Kibua, changu, preza, ngisi nk. Hawa Sato na Sangara ni wazuri nakula, lakini samaki wa bahari ni kitu kingine
Lini daktar alimwandikia mtu ale sato hahaaaa hao ni bio control spp
 
Ndoo kubwa 15,000 bila usafiri,
  1. Ukitumia Truck 10.000 siku tatu
  2. Ukitumia basi 20,000 siku moja.
  3. Ukitumia usafiri wa ndege 40,000 masaa 3 mzigo utakuwa Dar.
Kwa dar es salaam uduvi ndoo kubwa ni 20000.kwa mkazi wa dar inakuwa hakuna faida labda Kwa wakazi wa mwanza hapo sawa
 
1000064000.jpg
 
Back
Top Bottom