INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Pia tuna mafundi wenye weledi na walio bobea katika maswala ya ujenzi wa nyumba yako

View attachment 2025948
Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, ni wadau wa ujenzi wa kisasa, tuna kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ujenzi za kisasa na Tunahitaji mafundi ujenzi, kuanzia wa kiwandani kwenye uzalishaji mpaka kwenye ufundi wenyewe. Tuinahitaji mafundi wa viwango tofauti, kuanzia wanaohitaji kujifundisha ujenzi mpaka wale wazoefu wa kusimamia kazi. Tupo very strict kwa ubora. Kama unapenda kufanya kazi na watu wenye kujali ubora wa kazi za ufundi, nidhamu za kazi za ufundi na mwenye kujali miiko ya kazi za ufundi na sio uwingi wa kazi basi wasiliana nasi.

Pia tupo tayari kuongea na vikundi au makampuni na madalali wa mafundi ujenzi namna ya kushirikiana.

Kwa maelezo zaidi fika tuonane ana kwa ana au tuma WhatsApp 0625249605. Tupo, Mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Kibaha, Pwani. Tanzania.
 
mkuu nahitaji ramani vyumba 4,kimoja master bedroom,viwili self contained na kimoja single,public toilet,store ,sitting roo ,dinning room na kitchen nina tshs 50000 mfuko wa shati tuwasiliane nikupe email unitumie nitaprint mwenyewe.
 
Kaka kwenye swala la ramani kila ramani ina bei yake inategemea unahitaji ramani ya namna gani kuna ramani za shule,hostel,apartments, hotel,residential house karibu sana mkuu ni maelewano tuu
Unafanya biashara ya ramani au ujenzi wa nyumba?
 
Back
Top Bottom