INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

sirajj johnn

JF-Expert Member
Apr 5, 2017
1,502
839
Pata ramani nzuri na za kisasa zaidi
Kwa wachoraji waliobobea katika maswala ya uchoraji ramani na ujenzi pia tutakupa ushauri kuhusu maswala ya ramani na ujenzi kwa ujumla

Mawasiliano :0678195114
Email: sirajimsilanga55@gmail.com

SU%20(5).jpg
SU%20(2).jpg
SU%20(3).jpg
 
Tatizo lenu mnaonyesha finishing za nyumba za mtandaoni badala ya kuonyesha ramani zenu ili tushausike
Mkuu hizi ni 3d ambazo unapochorewa ramani yako zinakuwa zimeambatanishwa na ramani yako kama vile
Mchoro wa ramani
Elevation
3d zake ambazo zinakuwa zinaonesha pande zote za nyumba yako zitakavyo kuwa so hizi ni kazi zetu kabisa na zishakabidhiwa kwa wateja wetu karibu sana mkuu
 
Tatizo lenu mnaonyesha finishing za nyumba za mtandaoni badala ya kuonyesha ramani zenu ili tushausike
Kuna dogo mmoja alikuja kwangu kwa Gear hiyo lkn nilichogundua ni kuwa wengi wao wana-copy kwenye mtandao lkn hawawezi kabisa ku-customize kuendana na hali halisi. Hii kitu inabidi wabadilike kabisa Nyumba ya Russia si sawa na ya TZ wataalam
 
Back
Top Bottom