Pata ramani nzuri kabisa na nyumba ya ndoto yako jijini Mbeya

sirajj johnn

JF-Expert Member
Apr 5, 2017
1,502
839
Pata ramani Kali kabisa na ujenzi wa nyumba za kisasa kabisa kutoka mbeya tuko ccm mbeya karibu na mikumi lodge

Piga 0689993661
Wasap 0766195115
Email: sirajimsilanga55@gmail.com

HSC.jpg
 
Leta Ramani uliyo ...chora hachana na picha za ku- download
Kijana pambana siyo una download pic
 
Habari wapendwa mm ni Quantity Surveyor anayeitaji kuandaliwa BOQ ya kuombea mkopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yake au kujua garama za ujenzi wa nyumba kabila ya kuanza kujenga na ata kuandaliwa material yote yanayoitajika katika ujenzi wake pia raman na ujenzi wa nyumba za bei nafuu na imara nicheki watsap u piga 0753757303
Pata ramani Kali kabisa na ujenzi wa nyumba za kisasa kabisa kutoka mbeya tuko ccm mbeya karibu na mikumi lodge

Piga 0689993661
Wasap 0766195115
Email: sirajimsilanga55@gmah
 
Leta Ramani uliyo ...chora hachana na picha za ku- download
Kijana pambana siyo una download pic
Anaweza kabisa maana mambo siku hizi yamebadilika, kuna software nyingi sana za haya mambo siku hizi, mtaalam wa kawaida akiwa guided na hizo software anaweza kutoa kitu kikali bila chenga, mambo ya pencil na karatasi yamehamia kwenye precision ya computer, huwezi kosea ukikosea software inakuweka sawa
 
Bei zenu kwa mchoro wa nyumba ya kawaida ya vyumba vinne, jiko, store e.t.c zikoje?.

Naomba majibu hapahapa.
sirajj johnn
 
Back
Top Bottom