INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Chora nasi kwa gharama nafuu sasa
M%20(1).jpg
 
Five rooms
Floor ya kwanza
1.vyumba viwili vyote master
2.sebule
3.dining
4.jiko
5.store na public toilet

Floor ya pili
1.vyumba viwili vyote master na balconies.

Karibuni sana wakuu
TR%20(6).jpg
TR%20(4).jpg
TR%20(5).jpg
TR%20(1).jpg
TR%20(2).jpg
TR%20(3).jpg
 
Hii ni vyumba vitatu
Msingi gharama yake maximum ni 3,900,000 gharama hii inaweza kuongezeka au kupungua kutokana na eneo lako.

hahahahahaha

hizi nyumba fancy fancy zitakuwa msingi mil 4 ?

unajua bro, unaweza kufukuza biashara kwa kudhani unavutia biashara…. kwa kuonekana muongo

-ufundi
-vyuma vya mikanda
-mawe mekundu ya jamvi( sio ubuyu)
-zege la jamvi ( la kokoto nyeusi)
-nondo za columns ( lazima zichimbiwe kwenye msingi, so ni sehemu ya gharama za msingi)
- mimbao flat ile 1 X 8 ya kufungia mikanda
-kifusi au mchanga wa soil replacement (kuna viwanja vingine LAZIMA unaondoa udongo/mfinyanzi) wote unamwaga mchanga…)
- na makorokoro mengine kibaaaaooo
kamba, misumari, maji, ndoo, makarai, chepe, trucking (ukinunua cement hupewi lori bure kama lori la mchanga au mawe), kukodi vibrator, kibolo, mixer, duuuu

eeeeh… mafundi wa kibongo unawanunulia mpaka nyundo…. Maji ya bajeti ya kujengea wakimaliza wanafulia, wanakogea,

MILIONI NNE ?????

Johnny please!
 
hahahahahaha

hizi nyumba fancy fancy zitakuwa msingi mil 4 ?

unajua bro, unaweza kufukuza biashara kwa kudhani unavutia biashara…. kwa kuonekana muongo

-ufundi
-vyuma vya mikanda
-mawe mekundu ya jamvi( sio ubuyu)
-zege la jamvi ( la kokoto nyeusi)
-nondo za columns ( lazima zichimbiwe kwenye msingi, so ni sehemu ya gharama za msingi)
- mimbao flat ile 1 X 8 ya kufungia mikanda
-kifusi au mchanga wa soil replacement (kuna viwanja vingine LAZIMA unaondoa udongo/mfinyanzi) wote unamwaga mchanga…)
- na makorokoro mengine kibaaaaooo
kamba, misumari, maji, ndoo, makarai, chepe, trucking (ukinunua cement huoewi lori bure kama mchanga au mawe), kukodi vibrator, kibolo, mixer, duuuuuu

eeeeh… mafundi wa kibongo unawanunulia mpaka nyundo…. Maji ya bajeti ya kujengea wao wakimaliza wanafulia, wanakogea,

MILIONI NNE ?????

Johhny please!
Nashukuru kwa mawazo yako mkuu karibu sana
 
Chora nasi kwa gharama nafuu kabia

Piga 0678195115
Au 0689993661
Wasap:0766195115
V2.jpg
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom