Pata picha hii ingetokea hapa Tanzania

Pata picha hii ingetokea hapa Tanzania

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,153
Reaction score
137,162
Huyo kwenye video ni chatu wa Amerika ya Kusini, ajulikanaye kama anaconda.

Inadaiwa kuwa hapo ni kwenye mji wa Porto Velho, nchini Brazil.

Joka lilikuwa linavuka barabara na watu wakasimamisha magari yao na kuliacha livuke kwa amani na utulivu na bila kulidhuru wala kuliua.

Wengine wakashuka toka kwenye magari yao na kulipiga picha za kawaida na za video kwa kutumia simu zao.

Hatimaye joka likamaliza kuvuka na likatokomea kwenye kichaka.

Hiyo ingetokea hapa Tanzania....hahahaa!

Si ajabu yangesemwa mengi sana.

Kwanza, nadhani lingeuliwa. Kama si kwa kukanyagwa na gari basi kwa kupondwa mawe.

Ingiza sasa na zile imani za kijinga.

Si ajabu kuna watu ambao wasingelala usiku kwa kuamini kuwa limetumwa.

Watu wangehaha kwenda kwa waganga 🤣 ili kujua kulikoni!

Wakati hakuna lolote zaidi ya ecosystem kuwa kazini.

Huyo kwenye video ni chatu wa Amerika ya Kusini, ajulikanaye kama anaconda.

Inadaiwa kuwa hapo ni kwenye mji wa Porto Velho.

Joka lilikuwa linavuka barabara na watu wakasimamisha magari yao na kuliacha livuke kwa amani na utulivu na bila kulidhuru wala kuliua.

Wengine wakashuka toka kwenye magari yao na kulipiga picha za kawaida na video kwa kutumia simu zao.

Watu wangehaha kwenda kwa waganga ili kujua kulikoni!

Wakati hakuna lolote zaidi ya ecosystem kuwa kazini.

Kumbe sio mkubwa kivile kama tulivyoaminishwa
 
Huyo kwenye video ni chatu wa Amerika ya Kusini, ajulikanaye kama anaconda.

Inadaiwa kuwa hapo ni kwenye mji wa Porto Velho.

Joka lilikuwa linavuka barabara na watu wakasimamisha magari yao na kuliacha livuke kwa amani na utulivu na bila kulidhuru wala kuliua.

Wengine wakashuka toka kwenye magari yao na kulipiga picha za kawaida na video kwa kutumia simu zao.

Hatimaye joka likamaliza kuvuka na likatokomea kwenye kichaka.

Hiyo ingetokea hapa Tanzania....hahahaa!

Si ajabu yangesemwa mengi sana.

Kwanza, nadhani lingeuliwa. Kama si kwa kukanyagwa na gari basi kwa kupondwa mawe.

Ingiza sasa na zile imani za kijinga.

Si ajabu kuna watu ambao wasingelala usiku kwa kuamini kuwa limetumwa.

Watu wangehaha kwenda kwa waganga 🤣 ili kujua kulikoni!

Wakati hakuna lolote zaidi ya ecosystem kuwa kazini.

Nyani Ngabu wewe unasema ecosystem mambo ya kimagharibi hayo, sasa tumuulize Mshana Jr nyoka ukikutana na nyoka anavuka barabara ni ishara ya nini?
 
Nimeamini vile husemwa ukitaka kumkimbia chatu asikufuate, vuka upande wa pili wa barabara ya lami, huwa anapata shda sana kutambaa kwenye lami, na hii iko kwa majoka na nyoka wote.
 
Yup!

Huyo kwenye video alikuwa anahangaika sana.
 
zamani kabla ya TV kuja tulikuwa tunasimuliwa ukipita msituni ukasikia harufu ya pilau ujue chatu anawinda kimbia mbio zote
 
Back
Top Bottom