Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

Status
Not open for further replies.
Hii kitu nimejaribu mpk nimeona niulize tu. Kwa kutumia credit card inagoma kwa AU$ mpk nichenji kuwa US$, sasa hapa mkuu sijui unaeza nipa ujanja gani nikamilishe hii transaction
 
Moderator na Mike Mackee nililipa juzi kwa tigopesa namba inaishia 0655......599. ILA sijaina kama mmefanya jambo. Kindly do ze needful
 
Last edited by a moderator:
Hi Mike!..nataka kujiunga ila nalipa kwa Mpesa ilhali namba ninayotaka niwe natumiwa hizo breaking news ni ya Tigo
. Je hapa inakuwaje?
 
Hi Mike!..nataka kujiunga ila nalipa kwa Mpesa ilhali namba ninayotaka niwe natumiwa hizo breaking news ni ya Tigo
. Je hapa inakuwaje?

Tigo ni kwaajili ya wateja wa tigopesa. Mpesa maelezo yake yapo hapo juu

Nahitaji kubadilisha ststus ila naona njia za uchangiaji zinawez ku-compromise anonymity yangu, nitoe shaka mkuu.

Mkuu, taarifa zako zipo safe. Sidhani kama ushawahi sikia mtu analalamika kuhusu anonymity yake kuvunjwa.
 
Mkuu mbona sipati hayo mabreaking nyuzi? Nimekosea taratibu?
 
Hebu niambie nifanyeje mkuu maana sipati kabisa hii huduma kwa simu yangu..

Mtumie pm Mike Mushi au Invisible uwape tena namba unayopenda iwe unapata breaking Newz. Kwa upande wangu napata breaking Newz bila matatizo na inasaidia sana ukiwa haupo mtandaoni kujuwa tukio muhimu ontime.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom