Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

Status
Not open for further replies.
Hi Mike McKee nililipa kwa tigo but never been active...na nilijaribu kukuuliza kwa sms ukanijibu kuwa uta niactivate as a Gold member ila mpaka sasa bado
 
Last edited by a moderator:
Sijaona mkuu, nimeona maelekezo ya SMS Alert, au hio ndio faida yake?? kama faida ndio hio tuu Asanteni Nunueni salama. ila kama nikiwa Tanzanite member au gold nitaweza kua na uwezo wa kupin on top any thread na kuweka matangazo yangu kwenye any thread basi leo leo nitanunua. kama faida sms alert sioni umuhimu wa sms alert mpaka ifikie nilipie kwa kupata habari wakati nikizitaka nazipata free kwenye simu yangu.
 
Sijaona mkuu, nimeona maelekezo ya SMS Alert, au hio ndio faida yake?? kama faida ndio hio tuu Asanteni Nunueni salama. ila kama nikiwa Tanzanite member au gold nitaweza kua na uwezo wa kupin on top any thread na kuweka matangazo yangu kwenye any thread basi leo leo nitanunua. kama faida sms alert sioni umuhimu wa sms alert mpaka ifikie nilipie kwa kupata habari wakati nikizitaka nazipata free kwenye simu yangu.

Kwanza ni kuchangia Jf, unajua kuwapa ban watu ni kazi, kuupdate server na apps ni $. We jamaa toa tu, hiyo sms utapata tu ikiwa utataka

Note: haya maneno ni yangu, yasichukuliwe kwa rejea popote
 
Lengo ni kuchangia jf hayo maswala mengine ni mbwembe tu

Nikishachangia nitapata faida gani??? Kwani hamjui kua JF inaingiza hela kibao kwa kuweka matangazo ya makampuni hapa?? Je hizo hela hazitoshi?? kuendesha hii site. wanalipwa malaki kwa mwezi kuweka matangazo hapa.

Nadhani ingekua busara wangeweka matabaka ya kwamba mtu akichangia anapata faida flani, yaani ukiwa tanzanite/gold member basi unakua na uwezo wa kupin thread zako kua juu ya za member wengine wasiolipia pia ukiandika thread ma moderator wanakua hawawezi kuzifuta au hazifutwi na pia unakua na uwezo wa kudelete comment za watu wengine ambao wana comment katika thread ambayo umeiandika wewe, yaani nikiandika thread kisha mtu akicomment ujinga nakua na uwezo wa kuifuta bila ya kuwaatarifu ma moderator. Hapo kidogo itakua sawa, sio nitoe hela eti kuchangia wakati binafsi unakua hupati faida na pia why mtu achangie wakati web yenyewe inaingiza millions kwa matangazo ya companies
 
na hii bronze kwangu imetoka wapi?
pia naomba kukumbushwa kale kamchango kangu kanamalizika lini ili nijipange nichangie tena.
 
Baada ya mabadiliko ya utaratibu wa M.pesa, jamii forum administration hamja update mfumo wa kulipia members, kiasi flani mmetuacha njiapanda inasumbua na kutupatia utata wadau. Update it please
 
sijaele jez cotrbuion ni wawlamao ni mebes wjamii forumsu? Mimi nena nipate huduma hii aalicngie 30,000/= kwa mwaka
nijibu
 
Hii habari ya kulipia elfu 30 nadhani ina tatizo. Mimi last week nililipia lakini cha ajabu, sijaona responce yeyote kuonyesha nimelipia toka jamii forum na sioni difference na nilivyokuwa nikitafuta taarifa awali. Kama kuna usanii admin take action plz.
BD69AM195 Imethibitishwa. Tsh30,000 imetumwa kwa JAMII MEDIA COMPANY LIMITED kwenye akaunti namba 1234 tarehe 21/6/14 saa 1:19 AM
salio lako la M-PESA ni Tsh3,781,957.
 
Invisible wiki ijayo tutaonana bhana.long long time since my ahadi.naomba jtatu nisaidie kunikumbusha kwa pm.mambo mengi.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom