Pata bure mfumo wa bulk SMS, API na msg za trial.

Pata bure mfumo wa bulk SMS, API na msg za trial.

astalavista

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2014
Posts
256
Reaction score
283
Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree.

Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale.

Sisi ndiyo tunawauzia hao wengine wanaouza huko mtaani. Sasa usipite kwa dalali, karibu Moja kwa moja ofisini kwetu hapa Sinza Madukani, jengo la Emirates 3rd floor upate kilicho sahihi sana.

Nipigie/WhatsApp
0795790411
1000100583.png
 
Vipi WhatsApp naweza pata the same services

Kama WhatsApp broadcast
 
Toa maelezo vizuri sio kila mtu yupo dar humu au iyo service yenu ni kwa dar pekee
Karibu sana mkuu, huduma hii unaweza kupata popote ulipo. Hata huo mfumo na hizo msg utawekewa kabla hata ya kulipia msg yoyote.

BULK SMS ni huduma ya msg ambazo Kampuni, taasisi inatumia kupush taarifa kwenda kwa watu kwa njia rahisi na uhakika sana.

Ni rahisi kutuma msg 50000 ndani ya dakika zisizozidi tano na Kila mtu uliyemkusudia akapokea msg.

Zuri zaidi ni mtu unayemtumia msg hata kama hana namba yako ujumbe ataupokea ukiwa na jina la taasisi au ofisi yako.
 
Karibu ujipate mfumo, na ufanyie majaribio kwa namna ambayo haitokugharimu chochote kwa sasa.
 
Kama kuna swali lolote kuhusu Mfumo huu, niko hapa kujibu kila kitu.
 
Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree.

Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale.

Sisi ndiyo tunawauzia hao wengine wanaouza huko mtaani. Sasa usipite kwa dalali, karibu Moja kwa moja ofisini kwetu hapa Sinza Madukani, jengo la Emirates 3rd floor upate kilicho sahihi sana.

Nipigie/WhatsApp
0795790411
View attachment 3557325
SMS moja ni kiasi gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom