Passwords Zinantesa!

Passwords Zinantesa!

hapa kwenye password ni ishu kweli..

Bank- Bank tatu tofauti
JF- ID kumi na mbili
Email- email nne
FB and Twitter
 
mie natumia 123456 kwa account zangu zoote...staki shida..!
 
Hauko peke yako Kongosho. Mie kazini natakiwa kubadilisha kila baada ya wiki sita yaani nakaribia kumaliza majina ya ndugu na marafiki. Nikiishiwa basi nitazuka hapa nianze kutumia ID za hapa 🙂🙂🙂 halafu inabidi uweke vitu kama hivi ~@!#^*&$ pamoja na namba ili ikubalike kwenye system.
 
Inanichoshaje, kinachoniudhi zaidi kuna zingine za kujitakia, multiple ID's na a lot of blah blah.

Hauko peke yako Kongosho. Mie kazini natakiwa kubadilisha kila baada ya wiki sita yaani nakaribia kumaliza majina ya ndugu na marafiki. Nikiishiwa basi nitazuka hapa nianze kutumia ID za hapa 🙂🙂🙂 halafu inabidi uweke vitu kama hivi ~@!#^*&$ pamoja na namba ili ikubalike kwenye system.
 
kazi kweli kweli.......cha kushangaza nilishawahi kusahau passwords ya ATM.....na nilikuwa apeche alolo.....
 
Mimi nina Password nyingi, ukiniuliza sikumbuki hata moja, ila ukinipasogezea keyboard au simu hapo ndiyo najikuta nateremka nazo kiulaini tu......
 
Back
Top Bottom