Guys naomba kuuliza eti wapi naweza pata fomu kwa ajiki ya application ya passport coz juzi kati nlienda kwenye ofisi ya wizara ya mambo ya ndan na nkaambiwa form zimeisha na ni zaidi ya wiki nne sasa tokea form ziishe so ningependa kujua mahali pengine ambapo naweza pata fomu hizo.....Asanteni
Rushwa na umasikini ni mapacha, jmn tuache rushwa 'connected'
Tatizo ni nchi mnazotaja kwenda Nk uk,us,Sweden Nk me walinipa permanent nilisema naenda Zimbabwe walichokaje maaana sio ulaya Wala Africa mashariki Shenzi
Kama una haraka wape laki yao watafune Passport utaletewa mpaka nyumbani.
CCM wameiharibu hii nchi inanuka rushwa kila idara. Hata ukitaka ajira Takukuru mpaka utowe rushwa.