Mbona wa mikoani mnatutenga? Au mnadhani Passo hazipo huku, kisa eti haziwezi kupanda milima. Kwa taarifa yenu, hata sisi tunazo. Na mkileta ujinga tutazipiga rangi ya pinki kabisa, ili mjue we mean business
bora hata ya hao wenye Passo, je hawa tusemeje maana huwa nashindwa kuelewa kuwa hizi kitu zipo kwenye category gani ya magariView attachment 264003ukienda kkoo ndo vipo shazi, hata vigari vya kwenye golf ni vikubwa
Jamaa mshenzi kweli..!, eti ukishindwa kwenye kamari unapewa passo kama kifuta machozi.., hahahah..!Haaahaa masihara wewe
mkuu mimi nikiona binti anadrive PASSO akili zinaniruka kabisa!!! they look sexy in that car!
ha ha haha acha kabisaHahaha! Nanjilinji imefanyaje tena? Nyumbani kwa MTU.