nimekuja mama mwenye nyumba! Ni kweli nina taarifa za huyu mtoto wetu
Passion Lady, mume wangu
watu8 alimpenda sana mama yake lakini wazazi wake walikataa amuoe kisa alikuwa masikini kijijini ndipo akaondoka kwa kukosa penzi la moyo wake kuja kijiji kingine kuanza maisha ndipo katika kusaka wa kuupooza moyo wake akakutana na mimi tukaishi sote kwa tabu na raha na wazazi wetu wakaridhia penzi letu na mungu akatujalia watoto pia nao mwawafahamu
charminglady,
sweetlady,
lady furahia na kijana anaitwa
Daive S.M.... so Karibu sana kwenye familia mwanate mwingine
Passion Lady, hawa woote ni wadogo zako!