Passion lady

Passion lady

Best umefanya jambo la muhimu sana kumuliza daddy maana inabidi ujue na tuweze kujilist watoto na familia nzima ya malady humu ndani sio tunaanza kutafuta wakati ushapita
Mmeamkaje wana Chit Chat....

Mtajwa hapo juu huwa napishana naye humu jamvini, nikimuangalia sana naona anafanana na familia yetu, kuanzia muondoko, haiba zake na hata rangi rangi yake.....

Sasa hapa nawauliza wazazi wetu daddy watu8 na mummy measkron huyu binti ni ndugu yetu?? mbona hamtuweki wazi??

Nakala kwa my sis sweetlady, WiseLady, cousin ladyfurahia na wanafamilia wote....

Sikukuu njema wadau......
 
Toto la kambo hilo lilizaliwa na MadameX
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom