Tangazo: Nauza na Kukodisha Nguo za Harusi

Tangazo: Nauza na Kukodisha Nguo za Harusi

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,372
Reaction score
111,695
bridal-store.jpg

Ndugu wana CC,
Kutokana na kushamiri kwa watu kuchumbiana na kuona hapa jamvini, nami pasi hiyana napenda kuwatangazia kuwa nauza na kukodisha nguo, viatu na vikorombwezo vyote muhimu vya maharusi...
Zaidi familia yangu ya watu8 inamiliki saluni nzuri za kike na kiume (yaani hapa ni full manikyua, pedikyua, maenjo fesi, tunapaka mapouda, kutinda nyusi, faundesheni kwa kila rangi n.k).
Vilevile familia inamiliki kampuni ya kukodisha magari (hapa namaanisha everyone's dream car)...
Pia tuna ukumbi wa sherehe uliopo pembezoni mwa bahari ya Hindi...

NB:
Hata msio na uwezo wa kununua pete, zipo za kukodi....
Karibuni!!

CC: measkron, charminglady, WiseLady, sweetlady, Passion Lady, Mrembo by Nature, ladyfurahia na wanafamilia wengineo
 
Last edited by a moderator:
watu8 hapo utafanya biashara.Afu kwa ushauri tu mpe rushwa Baba V atunge shaaria ndogo ndogo kuwa wana ndoa wote lazima wapitie kwako, na kama mtu atafunga ndoa kimya kimya basi na akatwe mapembe yanayo mpa kibri !
 
tukikatwa mapembe tutaishije mjini?
Halafu we nakumind...... nasubiri ndoa yako ivunjike tu uwe mshika pembe wangu
 
Last edited by a moderator:
Nanunua hisa kwenye kampuni yako and then we are gonna be damn rich...!! Tunaanza na Smile na kabanga fastaaa... baadae tutakodisha magari pia, vipi kuhusu mradi wa majeneza pia??
 
Last edited by a moderator:
watu8 Afu kwa ushauri tu mpe rushwa Baba V atunge shaaria ndogo ndogo kuwa wana ndoa wote lazima wapitie kwako, na kama mtu atafunga ndoa kimya kimya basi na akatwe mapembe yanayo mpa kibri !

Hahaha mkuu wala sihitaji kutoa mlungula...standards za huduma zetu ni mlungula tosha...
 
Last edited by a moderator:
Nanunua hisa kwenye kampuni yako and then we are gonna be damn rich...!! Tunaanza na Smile na kabanga fastaaa... baadae tutakodisha magari pia, vipi kuhusu mradi wa majeneza pia??

Karibu sana kununua hisa... Smile na kabanga hebu toeni muongozo wa harusi yenu tuwafanyie PLANNING ya nguvu...

Majeneza mkuu siwezi aisee lol!!
 
Last edited by a moderator:
mwenyekiti temea mate chini apoo..majeneza tena?...humu hatufi bana
Nanunua hisa kwenye kampuni yako and then we are gonna be damn rich...!! Tunaanza na Smile na kabanga fastaaa... baadae tutakodisha magari pia, vipi kuhusu mradi wa majeneza pia??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu
kazi nzuri
mimi nakupa ofa nitumie picha ntakutangazia kwenye blog yangu for free
kwa wiki 1
then
kama utaona
mambo mazuri tutaongea biashara au sio mkuu,blog yangu inahusu habari za biashara na saikolojia,
kwa kifupi ujasiriamali,na inauwezo wa kutembelewa na watu 350+ per day.
Gonga hapa uione Gshayo blog
GSHAYO
 
Back
Top Bottom