Mara nyingi nimekumbana na tatizo la pasipoti zetu (mpya) kutosomeka.....hii imenitokea sana tu........
Nahisi kuna tatizo la kiufundi kwenye pasipoti zetu zinapotakiwa kusomeka na mashine.........wahusika fuatilieni...........
Hii ikikutokea wakati ushafika nchi ya watu inakuwaje sasa? Utaondokaje huko?
Mara nyingi nimekumbana na tatizo la pasipoti zetu (mpya) kutosomeka.....hii imenitokea sana tu........
Nahisi kuna tatizo la kiufundi kwenye pasipoti zetu zinapotakiwa kusomeka na mashine.........wahusika fuatilieni...........
Ni kweli nami ilinitokea nchi moja ya Ulaya wakaanza kuisuspect kuwa feki. Wakachukua namba, then wakaenda nayo kuitest wakaona si feki. Ni kweli hazisomeki ila mamlaka za nje nazo zinatambua maana nilijawa hofu then wakasolve. Kwahiyo kama ni original ukisafiri nayo usiwe na wasi
Pole sana mkuu Ogah, sasa ilikuwaje hilo tatizo lilipotokea? Ingefaa utuelemishe zaidi kwa faida ya wengine watakaopata matatizo kama hayo hapo baadaye.
Mimi sijawahi kukumbana na hilo tatizo tangu nianze kuitumia hii passport mwishoni mwa 2005.