Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

Pasco ataanzisha uzi mwingine wenye hoja kabambe ...na wengi bado watamkubali
 
Last edited by a moderator:
Kabla haujamchambua Pasco ulitakiwa kufahamu kwa nini alitoa hiyo kauli.

Labada nikuulize wewe unyama wanaofanyiwa Palestine na Israel wewe huoni kama tatizo wala Israel wanafanya ushenzi.

Hivi unaona maiti za watoto mitaa gaza zilivyotapakaa.

Kuna jamaa yetu hapa jamvini aliandika maneno haya kuwahusu nyie watu! Kwa hiyo nyie watu hamtakaa hata siku 1 mkawa na furaha! Libya ilikuwa nchi bora kabisa ona sasa hivi mambo yalivyo!

" Muslims are not happy They’re not happy in Gaza
They're not happy in Egypt They're not happy in
Libya They're not happy in Morocco They're not
happy in Iran They're not happy in Iraq They're not
happy in Yemen They're not happy in Afghanistan
They're not happy in Pakistan They're not happy in
Syria They're not happy in Lebanon So, where are
they happy? They're happy in Australia They're
happy in England They're happy in France They're
happy in Italy They're happy in Germany They're
happy in Sweden They're happy in the USA &
Canada They're happy in Norway They're happy in
almost every country that is not Islamic! And who
do they blame? Not Islam... Not their leadership...
Not themselves... THEY BLAME THE COUNTRIES
THEY ARE HAPPY IN!! And they want to change the
countries they're happy in, to be like the countries
they came from where they were unhappy. Try to
find logic in that ! Jeff Foxworthy on Muslims: 1. If
you refine heroin for a living, but you have a moral
objection to liquor... You are a Muslim 2. If you
own a $3,000 machine gun and $5,000 rocket
launcher, but you can't afford shoes... You are a
Muslim 3. If you have more wives than teeth... You
are a Muslim 4. If you wipe your butt with your
bare hand, but consider bacon unclean... You are
a Muslim 5. If you think vests come in two styles:
bullet-proof and suicide... You are a Muslim 6. If
you can't think of anyone you haven't declared
Jihad against... You are a Muslim 7. If you
consider television dangerous, but routinely carry
explosives in your clothing... You are a Muslim 8.
If you were amazed to discover that cell phones
have uses other than setting off roadside bombs...
You are a Muslim 9. If you have nothing against
women and think every man should own at least
four... You are a Muslim 10. If you find this
offensive or racist and don't forward it... You are a
Muslim!!"
 
Last edited by a moderator:

Great one Masanja, umeiweka kistaarabu ingawa ujumbe ni uleule

Tufike sehemu tukubali kutofautiana bila victimization... Pasco had wished for something which never happened, and a wish is a wish

Many people have wishes that they never tell anyone... some of the wishes are outrageous etc.

We should always try to learn from ones point of view and use that as a point of reference at some point in time

I THINK IT WAS RIGHT FOR PASCO TO WISH WHAT HE WISHED FOR, AND WISHES ARE WISHES... IT DOESNT MEANT THAT HE WOULD TAKE SILAHA AND DESTROY EVERY ISRAELI IN THIS WORLD

MAYBE HITLER ANGEWAMALIZA, ANGEWISH OTHERWISE

IF WISHES WERE HORSES, BEGGARS COULD RIDE
 
Kabla haujamchambua Pasco ulitakiwa kufahamu kwa nini alitoa hiyo kauli.

Labada nikuulize wewe unyama wanaofanyiwa Palestine na Israel wewe huoni kama tatizo wala Israel wanafanya ushenzi.

Hivi unaona maiti za watoto mitaa gaza zilivyotapakaa.

stop acting like Hamas is somehow the victim in this. When you use women and children as human shields to protect your terrorism, you're gonna have civilian casualties. Stop blaming Israel......
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hata mimi nimeshangaa sana.
Pasco pengine haelewi kuwa kama ukatili kwa wayahudi ni fair game , sijui kama waafrika tungekuwepo duniani kwa kigezo hicho.
Maana kuna wabaguzi waliowachukulia waafrika kuwa manyani, sasa Pasco ana reinforce hii view.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hata mimi nimeshangaa sana.
Pasco pengine haelewi kuwa kama ukatili kwa wayahudi ni fair game , sijui kama waafrika tungekuwepo duniani kwa kigezo hicho.
Maana kuna wabaguzi waliowachukulia waafrika kuwa manyani, sasa Pasco ana reinforce hii view.
 
Taifa la Mungu linaloshambulia kwa makombora vituo vya walemavu,wanawake na Watoto?Ni la Mungu huyu huyu ninayemuabudu au Mwingine?

Unajua sisi waafrika dini inaweza kuwa uchawi mbaya kuliko kitu kingine chochote

I feel sorry the Palestine women
and children!!War is not a solution!...tatizo watu wana tanguliza dini zao mbele, ndio maana hii vita itachukuwa mda sana, kuna mpuuz mwingine ameanzisha thread aki ihusisha chadema na israel!..hapo utaona ni jinsi gani waafrika tulivyo watumwa na hizi dini!
 
kahtaan & FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
HAPA PASCO NA MKOSOAJI NI VICTIMS OF STORIES, sio history, nendeni mkasome vitabu vikubwa sio vlivyotungwa kwa hisan ya nyangwine, MSOMENI HITLER hususan mawazo yake, iman na ndoto zake, somen vitabu natafiti zevye mitizamo ya kiliberali mpate ukweli...mnawaongopea watu hapa.
 
Kwa hili Pasco was right 100% ... Haiwezekani watu wale wale waendelee kuleta madhara duniani miaka nenda miaka rudi! Wanatengeneza silaha za maangamizi ya ki-biologia na kikemikali kuwadhuru binadamu wenzao! wana-control media na wanaendesha propaganda za kibaguzi na ugaidi dunia nzima! wanajiita wateule wa kuhalalisha mauaji kwa jina Bwana alie hai!!! ... No wonder Nyerere aliwakataa kwa nguvu zote...!!! Pasco was absolutely right ...hawa watu hawana faida kwa binadamu wenzao hata kidogo....
 
God bless Israel, a Holy Nation and a chosen race!!!!!

Mawazo ya kipuuzi na ya kitumwa.Yaani wewe huitaji hizo baraka za huyo Mungu,wala Taifa lako haliwezi kuwa takatifu na asili/race yako ya kiafrika haiwezi kuwa the chosen one,duh
Kweli waafrika tuna safari ndefu sana
 
Pasco hebu shusha nondo za history 3 za zama zile za Mwalimu Nyawawa!
Kwa maoni yangu, mawazo binafsi ya mtu yasitumike KUMHUKUMU hata kama ni Mwandishi wa Habari. Tujadili aliyowasilisha na siyo yamewasilihwa na NANI!
 
Yep... the mind of slaves!!!
Mawazo ya kipuuzi na ya kitumwa.Yaani wewe huitaji hizo baraka za huyo Mungu,wala Taifa lako haliwezi kuwa takatifu na asili/race yako ya kiafrika haiwezi kuwa the chosen one,duh
Kweli waafrika tuna safari ndefu sana

Mnanionea bure, I was only quoting from the bible (1 Pet 2:9- 10) regardless Peter's context. "But you are A CHOSEN RACE, A royal PRIESTHOOD, A HOLY NATION, A PEOPLE FOR God's OWN POSSESSION, so that you may proclaim the excellencies of Him who has called you out of darkness into His marvelous light;10for you once were NOT A PEOPLE, but now you are THE PEOPLE OF GOD; you had NOT RECEIVED MERCY, but now you have RECEIVED MERCY.…

In case you didn't know that then count yourselves Pagans.....!!!
 
Badala ya kujibu hoja Pasco amekuwa akitoa "Like" tu!
Bado hajajitambua ni mkristo badia anaenda kanisani kufuata mkumbo tu,anadhani Waisrael wapo pale kwa bahati mbaya hivyo wanatakiwa kufutwa kwenye uso wa dunia huo ni ujuha wa aina yake jiulize pamoja na dicteta wa Ujerumani hudhamiria hivyo mbona alishindwa KUWAFUTA.???Pasco soma Biblia,una chuki na Waisrael rohoni mwako siku nyingi na si leo,Mungu aliliona hilo akaruhusu ajali ya pikipiki ikupate kama onyo kwako hujasikia ukaponea ICU,ukiwachukia Waisrael unaanzisha vita na Mungu,kwa maneno yako hayo tayari umeisha laanika wewe pamoja na familia yako.sikutishi ila tabia yako ya kinafki ya kutaka kuwaonea huruma hamas sijaipenda,kuwa mkweli katika vita hii ya sasa nani kamchokoza mwenzie??
 

Nilijua umeitoa kwenye biblia.Lakini lazima tujue kuwa biblia imeandikwa na watu kama wewe na mimi.Hata kama wewe ni mlokole lazima utambue kuwa siyo maneno yote ya kwenye biblia yametoka kwa Mungu!

Huyo aliyeandika hicho kitabu cha Peter ni myahudi(Vitabu vingi vya biblia vimeandikwa na wayahudi) hivyo akiandika hicho alichoandika ni sawa tu kwavile naye ni mmoja wa wayahudi,lazima wajipe hizo sifa ziso na mantiki.

Sasa mimi na wewe yanatuhusu nini haya?Wewe ambaye si mpagani,ni muumini safi;unaamini kuwa Mungu hana upendeleo na ukimuomba kwa dhati atayajibu maombi yako,halafu hapohapo unaamini kuwa Mungu huyohuyo asiye na upendeleo kumbe kuna taifa moja analipenda kuliko mengine na kuna baadhi ya binadamu anawapenda kuliko wengine?
 
I am happy to be a pagan if that is what it takes to defy some scriptures... it doesn't hurt me

walk on, Mr. slave, walk on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…