Pasco Mayalla ana vielement vya unabii afungue kanisa

Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.
Mkuu mdukuzi , kumbe wewe wa longi!, humu JF siku hizi kumejaa madogo hawachelewi kutukana, utadhani tunalingana nao!.
Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga ya UDSM au Mabibo Hostel nilipokuwa naishi.
Duh kumbe tulikuwa tunaishi wote Mabibo!.
Mwaka 2005 Au 2006 NIlikuwa napata lunch Hill Park, tukajikuta tuko meza moja, ila kwa vile alikuwa star sikumshobokea, Kama ilivyo desturi yangu ya kuwakaushia mastaa so hanijui, simjui.
Hukunitendea haki kabisa Watanzania huwa tunasalimiana hata kama hatujuani, japo mimi ni kweli niliwahi kuwa maarufu, lakini sikuwahi ku behave ki super star, mimi ni mtu wa kawaida sana!.
Kwa bahati mbaya wote tulidisco chuo, nikakimbia nchi tena kwa mara ya pili.
Ni kweli niliingia UDSM kusoma LL.B, sikuwahi ku supp hata somo moja. Mwaka wa 4, mtihani wa mwisho kuna ticha mmoja akanifutia matokeo yangu ya UE kwa somo lake hivyo nikapigwa a technical DISCO for absconded!.

Issue ilikuwa hivi, yule ticha ananijua, tulikutana mitaani mitaa ya Sinza kwenye mambo yetu yale, denti ukampita ticha, ticha akamaind hivyo akafuta matokeo yangu na kupigwa disco!.

Nikafuatilia matokea ya external examiners somo lake nina A!. Nikaapeal kwa dean by then ni Dr. Ibrahim Juma. Ticha alipoulizwa kwanini amenifutia matokeo, akamwambia dean amefuata almanac ya UDSM ili uweze kufanya UE, lazima uwe umehidhuria course work 60%. Ticha akamwambia dean hajawahi kuniona kwenye somo lake hata mara moja, akasisitiza namjua Pasco na sijawahi kumuona darasani kwangu.

Mimi nikajitetea darasa tuko wanafunzi 400!, utajuaje kama nipo au sipo?. Nikamwambia hata siku ile anauliza swali class na kuniita kwa jina, sikuitika kwasababu nilikuwa sina jibu na sio kweli sijahudhuria somo lake!.

Dean Dr. Juma akaamuliza, jee ame miss hata course work moja?. Sijamiss!. Dipo dean akampiga masomo mawili
1. Uthibitisho wa mwanafunzi kuhudhuria lecture ni kupitia attendance register na sio kuangalia sura eti unamjua na hujamuona!. Jina langu kwenye attendance register, lipo vipindi vyote!.
2. Prospectus ya chuo kwa Mwanafunzi ambaye hajahudhuria 75% anatakiwa kuwa barred na kuzuiwa ku sit for EU, mimi was not barred, mwanafunzi akiisha sit for UE na matokeo yatatoka, hawezi kufutiwa matokeo yake, hivyo nilishinda appeal, nikapata LL.B yangu with honours!.
Sikuwahi kumuona tena zaidi ya kumsoma JF na mimi siangalii TV sijui yuko TV gani siku hizi.
Siko TV yoyote siku hizi. Mimi ni freelance hivyo naingia TV yoyote.
Kupitia JF Nimekuwa nikifuatilia maandishi yake, nara kadhaa, niseme tu maandishi yake yana unabii ndani yake, orodha ni ndefu sana nikiweka hapa hapatoshi, vitu vingine huchukua miaka hata mitano kutokea, hakuna mwana JF anayemfikia kwa hilo.
Asante ila sii kweli kuwa hakuna mwana JF anayenifikia, if tuna manabii kibao! Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
Kama hana pepo wa utambuzi basi ana roho mtakatifu. Nafahamu yeye ni mkatoliki Mzuri ila afungue tu kanisa atapata wafuasi.
Asante nimekusikia, mtu akiisha kuwa Mkatoliki mzuri, hawezi kufungua kanisa.
Nafahamu pia anapenda siasa, madhabahuni pia ni sehemu sahihi ya kupiga siasa kama akina Mama Rwakatale, Kakobe, Gwajima, Pengo, Mtikila, Sheikh Ponda, Alhad Musa wote hao wanapiga siasa kwenye mimbari.
Mimi ni mpinzani wa kuchanganya dini na siasa Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
Atumie hilo pepo la utambuzi au roho mtakatifu aliyenae kuwafikia wengi.

Ni ushauri tu.
Ukiisha ita ni pepo la utambuzi hizo ni nguvu za giza, ila pia ni ngumu kubaini maono fulani kama yanatoka kwa Mungu au kwa shetani, mfano hapa, Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Mayalla ni very professional. Hilo liko wazi sema hata career yake ya uandishi wa habari angepata nchi yenye uhuru kama Kenya mfano angekuwa moja kati ya waandishi na wanahabari Bora.
Asante,
Tatizo misingi ya serikali yetu haikumpa nafasi kudevelop zaidi ya kuwa chawa na green guard.
Simjui,hanijui but this mzee is so smart. Natamani siku moja nimuone kwenye nafasi kubwa akiongoza nchi.
Asante ila if you are good at something, just do it good sio lazima uteuliwe popote!.
Kama wachekeshaji,maslay queen na wasiojua lolote wameweza mayalla ndo aje ashindwe
Sijashindwa ni vile tuu...
Naomba itoshe!.
P
 
Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.

Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga ya UDSM au Mabibo Hostel nilipokuwa naishi.

Mwaka 2005 Au 2006 NIlikuwa napata lunch Hill Park, tukajikuta tuko meza moja, ila kwa vile alikuwa star sikumshobokea, Kama ilivyo desturi yangu ya kuwakaushia mastaa so hanijui, simjui.

Kwa bahati mbaya wote tulidisco chuo,Mimi nilidisco sababu ya ugumu wa masomo ila mwenzangu nasikia ilikuwa ni figisu figisu tu za prof mmoja sio sababu ya uwezo mdogo.
Baada ya kudisco nikakimbia nchi tena kwa mara ya pili. Sikuwahi kumuona tena zaidi ya kumsoma JF na mimi siangalii TV sijui yuko TV gani siku hizi.

Kupitia JF Nimekuwa nikifuatilia maandishi yake, nara kadhaa, niseme tu maandishi yake yana unabii ndani yake, orodha ni ndefu sana nikiweka hapa hapatoshi, vitu vingine huchukua miaka hata mitano kutokea, hakuna mwana JF anayemfikia kwa hilo.

Kama hana pepo wa utambuzi basi ana roho mtakatifu. Nafahamu yeye ni mkatoliki Mzuri ila afungue tu kanisa atapata wafuasi. Nafahamu pia anapenda siasa, madhabahuni pia ni sehemu sahihi ya kupiga siasa kama akina Mama Rwakatale, Kakobe, Gwajima, Pengo, Mtikila, Sheikh Ponda, Alhad Musa wote hao wanapiga siasa kwenye mimbari.

Atumie hilo pepo la utambuzi au roho mtakatifu aliyenae kuwafikia wengi.

Maana kila utawala unamsukumia kambo utadhani hana kitu kichwani na kwa umri wake sitegemei kuona akipata teuzi,

Ni ushauri tu.
Nilichoambulia ni kuwa Pascal alidisco
 
Hata wewe ukianza kuandika utitiri wa threads hapa JF na kuwa unajikwoti na kujirejelea katika kila posti huku ukifuata upepo unavyokwenda kuna mambo utakuwa unabahatisha tu maana ubashiri wa kawaida mara nyingi ni 50 - 50.

Hakuna cha nabii hapo wala nini.

- P

Isitoshe yule ni CIA ya Bongo so likely pia kuna vihabari habari vingine anakuwa navyo ndiyo maana anaweza kuvigusia gusia kwenye baadhi ya nyuzi zake.
We call it
The infinite monkey theorem:
The theorem states that a monkey hitting keys at random on a typewriter keyboard for an infinite amount of time will almost surely type any given text, including the complete works of William Shakespeare.
 
Sijui kama ni Unabii Bali ni mtu wa system wanakuwaga wanajua maana wanapanga wao.
Japo wazazi wangu wote wawili, baba na Mama walikuwa watu wa Idara, sisi tumezaliwa 8, wanne kati yetu walikuwa serikalini na sisi 4 tuko sekta binafsi. We can't all of US tuwe wa Idara. Mtu wa Idara hawezi kupandisha bandiko kama hili TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
P
 
Back
Top Bottom