A jab is a type of punch used in martial arts. Several variations of the jab exist, but every jab shares these characteristics: while in a fighting stance, the lead fist is thrown straight ahead and the arm is fully extended from the side of the torso. This process also involves a quick turn of the torso. It is an overhand punch; at the moment of impact, the pronated fist is generally held in a horizontal orientation with the palm facing the ground. This is also called a "front punch."
Jabs are usually aimed at the face or function as a feint, to lead to a second punch. Dynamic muscles involved in the jab include deltoids, triceps, pectorals, and the serratus anterior in the extension of the arm, and quadriceps and calves in the body drive.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema kuwa kukosoa ni haki ya msingi katika jamii ya kidemokrasia, lakini ukosoaji huo unapaswa kufanywa kwa kuzingatia maadili, heshima na ukweli.
Akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na...
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM — Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema uhuru wa uhariri ni nguzo muhimu katika taaluma ya habari na unapaswa kulindwa ili vyombo vya habari viweze kutekeleza majukumu yake kwa weledi...
Wakuu,
Baada ya wananchi kuwakataa waandishi wa habari sasa relikali inakuja na mbinu ya kuwarudisha wakongwe ili kurudisha imani na kuendeleza uchawa? Miaka tu ya wao kuwa kazini inatosha wao kupewa ithibati? Hii ina athari gani kwenye sekta ya habari? Kwanini baada ya uchaguzi? Tukirudi...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la mwananchi la leo
https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/kwa-nini-tunahitaji-kuulinda-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-5417540
Hili ni Swali: Media tukiendelea kuunyamazia unyanyasaji huu wa uhuru wa habari na uhuru wa maoni kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
LHRC yalaani vikali hatua ya Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutoa onyo kwa waandishi wa habari kutokana na maudhui ya kipindi cha televisheni. Hatua hii inakiuka uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki na ni jaribio la kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini. Uhuru wa habari...
"Na nikamsikia jana mheshimiwa Waziri Mkuu akisema mimi sibabaiki mambo ya kupendwa na kushangiliwa, mimi sifanyi vitu ili nishangiliwe...yaani hiyo maana yake kwa sisi wanasaikolojia ina maana aliumia, yaani mtu anashangiliwa, Waziri Mkuu mstaafu halafu mimi nipo sishangiliwi! yaani sasa ili...
Mutua, a father of two and a Community Health Promoter (CHP) in Dagoreti South, has made history as the first person to receive the new HIV prevention injection. Using his platform, he’s mobilising youth to embrace the jab while reminding them it’s added protection, not a free pass.
“Nikiwa CHP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.