Paschal Mayala: CHADEMA wajishushe, wakubali maridhiano

njia rahisi ni maridhiano kati ya vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi na KUSHINDWA viungane pamoja vitengeneze chama kikuu cha upizani,

halafu chadema iachwe pembeni kwa sababu haikushiriki uchaguzi haina uhalali wa kishiriki maridhiano yanayotokana na uchaguzi ambayo chadema haikushiriki.

halafu haitakuwa fair haki kwa vyama vya upinzani vilivyoshiriki uchaguzi

kuona maridhiano yanafanyika baina ya dola na chadema ambayao haikushiriki hata huo uchaguzi.(KIMANTIKI).
Akili za kuchambia hizi 😁 yaani ni sawa na kusema vyama vyote vya upinzani viungane na ccm hili kutengeneza upinzani wenye nguvu😴😴
 
kutakuwa na vyama vitatu tu
1.ccm A
2.chadema
3.vyama vya upinzani vilivyobakia ukitoa chadema ambavyo ni ccm b

vyama vilivyoshiriki uchaguzi ni
namba 1 na 3
ndivyo vinavyotakiwa viridhiane kuhusu uchaguzi vilioushiriki.

chadema isihusishwe kwa vile haikushiriki huo uchaguzi, na kwa vile imeshakufa anyway.
 
njia rahisi ni maridhiano kati ya vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi na KUSHINDWA viungane pamoja vitengeneze chama kikuu cha upizani,

halafu chadema iachwe pembeni kwa sababu haikushiriki uchaguzi haina uhalali wa kishiriki maridhiano yanayotokana na uchaguzi ambayo chadema haikushiriki.

halafu haitakuwa fair haki kwa vyama vya upinzani vilivyoshiriki uchaguzi

kuona maridhiano yanafanyika baina ya dola na chadema ambayao haikushiriki hata huo uchaguzi.(KIMANTIKI).
Chadema ndo chama
Kikuu cha Upinzani na kutoshiriki uchafuzi huu wa October 29 chadema imeongeza watu wengi ambao hawana kadi za chama lakini mioyo Yao iko chadema
 
Mkuu Monsta, Monster, heshima kitu cha bure, huku sio kunitendea haki.
P
Paskali umenistua sana hadi nimetetemeka...

Monster alikuwa amemnukuu KERATO MOMBAA lakini wewe Umeandika kama vile wewe ndiye uliyenukuliwa.

Hebu tuondolee huu mkanganyiko kuwa Kerato Mombaa na Pascal Mayalla siyo mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom