paschal mayala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngozimbili

    Ufafanuzi wa majibu yetu Kwa Paschal Mayala, kuhusu nani aliamuru kupigwa risasi "raia"

    JE, YALIKUWA MAANDAMANO AU MRADI WA UHAINI DHIDI YA DOLA? Majibu kwa Paschal Mayalla — Sehemu ya Pili Na Mwandishi Maalum Katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu kile kilichoitwa “Maandamano ya Amani,” kuna ukweli mmoja mchungu ambao baadhi ya wasomi, wanasheria na viongozi wa maoni...
  2. ngozimbili

    Majibu kwa Paschal Mayalla: Nani alitoa amri ya risasi au ni sheria ilijiandaa kulinda Jamhuri?

    Nimeisoma hoja ya mwandishi nguli na mwanasheria, Paschal Mayalla, akihoji: "Nani alitoa amri ya kufyatua risasi?" Ni haki yake kikatiba kutoa maoni, lakini kama mwanasheria na mtu aliyekulia kwenye mikono ya mfumo wa usalama (tukimkumbuka mzee wetu Mayalla, Mungu amrehemu), Paschal anajua fika...
  3. M

    Paschal Mayala: CHADEMA wajishushe, wakubali maridhiano

  4. Idugunde

    JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa

    Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari haikuona Majaliwa akishangiliwa? --- Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Tanzania ( Jounalist Accreditation Board) imempa muda wa masaa 24 Mwandishi wa habari Mwandamizi Paschal Mayala kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye kipindi cha JAMBO ASUBUHI...
  5. Dalton elijah

    Askofu Mwamakula Aibuka na Ujumbe Mzito Kufuatia Kauli ya Paschal Mayala

    PASCHAL MAYALA NA KABURI LA MEDIA! Nimeona taarifa inayosema Baraza la Ithibati la Waandishi wa Habari limempa Paschal Mayala saa 24 athibitishe kauli yake kuwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alichukizwa na kitendo cha waombolezaji wa msiba wa Kadinali Pengo kuwashangilia mawaziri wakuu...
  6. Burn the bridge _Tz

    Paschal mayala ni Chawa aliepandikizwa na CCM kwa kigezo cha uhuru wa vyombo vya habari

    Huyu jamaa hana tofauti na akina mwijaku na wengine. Wana JF huyu jamaa amepandikizwa na kulipwa ili kumsifia Samia huku JF Tukae nae mbali hana uzalendo na taifa hili ni mnafki
  7. DuaZaMama

    GE2025 Paschal Mayala: Pongezi kwa Serikali ya CCM, Tume ya Uchaguzi kwa kuweka Usawa

    Paschal Mayala ameipongeza Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuweka usawa kwa vyama vyote vinashiriki Uchaguzi Mkuu 2025. Pia soma GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
  8. B

    Rais samia amemzidi Magufuli, Tume imeweka usawa, hatukupaswa kuwa masikini- mzee Paschal Mayala

    19 September 2025 RAIS SAMIA AMEMZIDI MAGUFULI, TUME INEC IMEWEKA USAWA, HATUKUPASWA KUWA MASIKINI - MZEE PASCHAL MAYALA https://m.youtube.com/watch?v=oftPkSsFP4I Mwandishi mkongwe mzee Paschal Mayala akiwa studio. Nguli huyu wa tasnia ya habari pia ni mwanachama hai /active katika mijadala...
  9. jannelle

    Leo ndio nimemuona Paschal Mayala hapa Dodoma, kumbe Grand Pa kabisa

    Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamoo😀, weeh wampe tu Teuzi anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
  10. The Burning Spear

    GE2025 Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi

    GT Hapa ngosha Mayala nadhani alikuwa ameshukiwa na roho mtakatifu na kuongea ukweli. Msikilize, anakasirishwa sana na maCCM kuendekeza unafiki nafiki na kuficha ukweli aomba simba aachiwe aje ulingoni kupambana na Bi kizimkazi. Alichozungumza Paschal Mayalla: Kazi ya uandishi wa habari ni...
  11. Beira Boy

    Paschal mayala NO REFORM NO ELECTION imeanza kukaa kwenye mioyo ya watu, watahadharishe huko juu hao ndugu zako

    Amani iwe kwenu wapendwa Kadili siku na mda unavyozidi kusonga naona kama watu moshi wa no reform no election una Anza kuwaingia kichwani Pascal Mayalla wasanue wenzio huko wambie kibanda kinafuka Moshi SAYUNI BOY
  12. Kekule Wa Benzene Ring

    Paschal Mayalla ni vyema atambue wanachodai CHADEMA sio ‘huruma ya Rais’ bali ni haki yao

    Wakuu nipo Live Jambo Tv namsikiliza Mheshimiwa Tundu A. Lissu Juu ya No reform no election akichambua kiundani matatizo ya kimfumo na kikatiba ya Mfumo wa uchaguzi na jukwaa la wahariri Tanzania. Kuna huyu ndugu Paschal Mayalla wakati WA maswali na majibu Kwa mh. Lissu ameuliza swali ambalo...
  13. Doctor Mama Amon

    Paschal Mayala aepuke dharau dhidi ya Lissu Jembe Letu

    Paschal Mayalla I. UTANGULIZI Makala ya Paschal Mayala katika gazeti la Nipashe, toleo la Jumapili, tarehe 23 Februari 2025, imenikumbusha matukio ya kisiasa ya mwaka 2022. Tarehe 20 Mei 2022 viongozi wa Chadema walikwenda kwenye kikao cha majadiliano ya kuimarisha demokrasia na hali ya...
  14. Pascal Mayalla

    Face 2 Face with Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo: "Tunafanya Politics of Engagement kwa kuwa Pragmatic on What is Possible"

    Wanabodi, Tunakwenda shule ili kufunzwa maarifa, sio kupata akili, akili kila mtu anazo na anazaliwa nazo, ila jinsi ya kuzitumia ndicho tunachopaswa kujifunza na kufundishwa. Mimi najihesabu ni muelimishaji umma kupitia kipindi changu cha TV, "Kwa Maslahi ya Taifa" na makala zangu za magazeti...
  15. S

    Public funds are stolen from million to single digit billion currently

    Of late I discussed with you and therefore whistleblowing in regard to public fund stealing in the organization I am working on currently. Actually, I have been trying to share in piecemeal which in a way did not become effective. The story started way back in 2015 whereby the CIA. Alphonse...
  16. Nyendo

    Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...
  17. M

    Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

    SHANGAZI FATMA KARUME'S OPINION ON PRESIDENT'S POWER TO CONFER THE MUNICIPALITY STATUS OF THE CITY WAS GIVEN PER INCURIAM. PART 1: GENERAL OVERVIEW. President, John Pombe Magufuli in early hours of 24th February, 2021 during the inauguration of the Ubungo Interchange expressed his intention to...
  18. martinezstavo

    Ni vipi kama haya maisha tunayoishi ni ndoto

    Asalaam wakuu, Kama binadamu nimekuwa najikuta nateseka sana kuishi kwenye hii dunia hasa kwenye jamii yangu ambayo inanifanya nipate huduma muhimu tu kama binadamu Kwa muda mrefu sijui imeanza lini lakini huwa nafikili ni vipi kama haya maisha yote ninayoishi ni ndoto Katika maisha yangu...
  19. Matojo Cosatta

    Alama inayokubalika wakati wa kupiga kura na kuhesabu kura

    ALAMA INAYOKUBALIKA WAKATI WA KUPIGA KURA NA KUHESABU KURA. Kwa mujibu wa Aya ya 3.4 ya Maelekezo kwa Wasimamizi wa Vituo vya Kupiga Kura, 2020, alama zinazokubalika katika kupiga kura ni hizi ambazo zimeelezwa hapa kama ifutavyo; (1) Alama inayokubalika katika chumba kilichopo wazi kwenye...
  20. Matojo Cosatta

    GE2020 Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kutengua uteuzi wa Wagombea Udiwani utasababisha uchaguzi wa Madiwani wengi kubatilishwa na Mahakama

    UAMUZI WA MWISHO WA KUTENGUA UTEUZI WA MADIWANI ULIOFANYWA WA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI UTASABABISHA UCHAGUZI WA MADIWANI KUTENGULIWA NA MAHAKAMA. Karibu maamuzi yote ya Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi (Assistant Returning Officers) kutengua uteuzi wa wagombea udiwani wa vyama vya siasa...
Back
Top Bottom