BEZO JR
Platinum Member
- Jul 15, 2023
- 3,273
- 8,473
Kwani kuna ambaye hajui kuwa kesi ya lissu ni bandia??Sijui unatumia kanuni gani ya kivita. Unawezaje kusarenda na kuanza tena vita?
Kwa ivo kwa maelezo yako unataka kutuambia kumbe Lissu Kesi yake ni ya bandia ila anashikiliwa kama kigezo shinikizo ili CHADEMA ishiriki kwenye maridhiano?