Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,825
- 90,228
Naunga mkono pia,CHADEMA washushe siraha chini,hata kivita inaruhusiwa ku surrender ili uweze kujipanga upya kabla ya kurejea kwenye mapambano,watoe tu condition kwamba Lisu awe huru ili aongoze hayo Maridhiano.
Huko kukaza kwao kunafanya Lisu aendelee kuteseka,na CCM hawajali kabisa,mwisho atakata moto huko jela na hakuna watacho nufaika.
Cc Pascal Mayalla
Cc Robert Heriel Mtibeli una maoni gani
Kama hakuna mazingira ya haki na usawa. Hakuna maana ya Maridhiano.