Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,847
- 37,541
TushamzoeaUsicheke Mayalla sasa yeye ni nani kwenye nchi hii mpaka kusema chadema wajishushe?
Hana jipya
TushamzoeaUsicheke Mayalla sasa yeye ni nani kwenye nchi hii mpaka kusema chadema wajishushe?
Umeona eh! Wanaridhiana na maiti? Washenzi wakubwaSi,wanasema CDM imeshakufa ?
Hilo kitakwimu nalikataa, hakupata kura hata 1.Aliambulia kura 1 ya maoni unaambiwa hata mkewe alimtosa
Huyu dingi bana, anajifanyaga ana busara, na mara kibao huwa anakuja na mifano hasi dhidi ya cdm. Lakini mara nyingi tabiri zake huwa haziwi anavyotamani. Anataka cdm wajishushe waingie kwenye maridhiano kisha kijifie.
Katumwa huyu..
Sijui unatumia kanuni gani ya kivita. Unawezaje kusarenda na kuanza tena vita?Naunga mkono pia,CHADEMA washushe siraha chini,hata kivita inaruhusiwa ku surrender ili uweze kujipanga upya kabla ya kurejea kwenye mapambano,watoe tu condition kwamba Lisu awe huru ili aongoze hayo Maridhiano.
Huko kukaza kwao kunafanya Lisu aendelee kuteseka,na CCM hawajali kabisa,mwisho atakata moto huko jela na hakuna watacho nufaika.
Cc Pascal Mayalla
Mkuu namaanisha wawe na utayari wa maridhiano,mara nyingi CHADEMA wanasema hawatashiriki..wakionyesha utayari nadhani mengine yatafuata.Maridhiano si mpaka wamuachie huru mwenyekiti wa chadema atoke jela ndio yafanyike mazungumzo ya kuwa na maridhiano? Mwenyekiti yuko ndani, hayo maridhiano yatafanyikaje?