Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo ulikuwa mwisho wake wa KUPIGA fedha za serikali kupitia vyombo vyake na kile kipindi chake cha kuwasafisha wale majizi ya serikali kwa mipango kedekede waliyoonesha waifanya kumbe majizi tu.
Hakika Magufuli alimnyoosha pascally Mayalla baada ya kumuhoji swali lililomkera Hayati Magufuli yaani wewe Mayalla(means NJAA),unamwoji mtu kama limagufuli linapata wapi mamlaka yaliyonje ya katiba?
Swali ilo lilimuingiza Passcaly Mayalla MATATIZONI na uwezi amini jamaa alifungwa mpaka mdomo lakini siku aliyotangazwa kufariki Pascally alichinja mbuzi mikisa na jogoo na kusherekea.
Leo hii pascally Mayalla anajitokeza MAHAKAMANI kwenye kesi ya kubumbwa ya jamhuri dhidi ya Tundu Lissu na kumwambia Kaka" Lissu yanamwisho" je ni yapi yaliyona mwisho?
Pascally Mayalla wa jf na ccm mtaka teuzi tubu na uiamini injili!🤣😂