KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,179
Anasema ingeanzia kwako angekuwa "now you are happy."Korona imefika now you are happy.
Bado anayo matumaini kwamba wote aliowaombea janga hilo litawapata ili nchi ipate ahueni.
Samahani, sikuweza kujizuia kuyaandika hayo maneno ambayo najua hayafai; lakini tumefika pabaya sasa. Kama watu mnazo akili kichwani ni wakati wa kujitafakari.