Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,631
- 38,242
Sasa unajiita jasiri huku umejificha kwa ID fake.? Kama si ukunguru ni nini?Huwa siwaelewi watu mnaokujaga na kauli hizo za watu kutumia hizo mnaita ‘fake id’. Unajua malengo ya JF? Nikukumbushe, moja ya malengo yake makuu ni watu kuongea kwa uhuru na hasa kukosoa mienendo ya serikali na watendaji wake bila woga na hizo mnaita ‘fake id’ zinawasaidia members kufanya hivyo.
Labda umeanza jana kuijua na kutumia mitandao ya kijamii ila kutumia jina lolote unalotaka ni moja ya uhuru tulio nao huku mitandaoni!
Ila hongera kwa kulipwa kodi za wananchi kuja kupoteza muda wako mitandaoni.
Mleta mada kama yeye ni kidume aje na jina lake halisi kama Pasco alivyofanya kisha ndio wapambane.
Siyo unajificha uvunguni na katecno kako alafu unakuja humu na kijina chako bandia alafu eti hooo tutachinja, mara hiivi, mara corona njoo. Pumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app