Pascal ni mchumia tumbo, tumpuuze

Pascal ni mchumia tumbo, tumpuuze

Haijalishi Paskali amefanya nini ila we kutamani nchi ipate janga la corona umekosea sana. Kutamani nchi ipate corona that mean huwapendi hata ndugu zako maana hii kitu ikiingia haichagui.. So kama uko tayari kwa hii hali si maana yake umekata tamaa! Sasa kwanini usivae tu kitanzi ukajinyonga? Si itakuwa sawa tu na kuombea taifa lipate corona maana ikija si inaweza pia kupita na wewe! Man up bro
 
Jamaa ni mkabila asiye jificha kabisa na nilisha mdharau kitambo sana, nakwasasa ametawaliwa kabisa na kiburi cha uzima
 
Wewe ni kanjanja tu, tena mwoga kama kunguru!

Sasa kama unataka kushindana na Mayala weka jina lako halisi hapa JF kama mwenzio alivyofanya.

Huwa nashangaa sana mtu unatumia id fake umejificha kwenye keybord alafu una ropoka hovyo wakati huna ujasiri wowote hata wa kubeba jiwe kwenda nalo barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ndio Pascali?
 
Kinacho matter jf sio "real ID" or "fake ID".

Ni mjinga tu anaepoteza muda wake kuangalia hivyo vitu; soma comments za watu uelimike, sio kusoma ID name; ushamba tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom